Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,163 37,801 Apr 20, 2016 #8 Naomba kuuliza: barabara haitakuwa na mistari ya njano?
imbegete JF-Expert Member Jun 21, 2015 1,299 991 Apr 20, 2016 #10 Hii barabara ina viwango vya Japan na siyo vya china!!!!
Sirdirashy JF-Expert Member Jan 26, 2014 3,237 3,025 Apr 20, 2016 #11 Mmmh nimekuja mbio kumbe barabara ya daraja jipya la kurasini
Lyatuu the Great JF-Expert Member Nov 5, 2013 212 85 Apr 20, 2016 #12 Sikutegemea kuona nilichoona aisee nimecheka sana asante kwa kuiweka siku yangu imalizike vyema na kwa furaha.
Sikutegemea kuona nilichoona aisee nimecheka sana asante kwa kuiweka siku yangu imalizike vyema na kwa furaha.
Frank Wanjiru JF-Expert Member Apr 12, 2012 22,626 40,525 Apr 21, 2016 #14 Turnoff said: Hii barabara ya wapi vile? Click to expand... Ya kuelekea tiGO Makao Makuu.
KIKAZI JF-Expert Member Aug 26, 2014 1,370 1,511 Apr 21, 2016 #15 aise hii barabara magari sijui yatapishana mangapi
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Nov 25, 2010 62,197 128,127 Apr 21, 2016 #16 Mkandarasi amechora kabisa mistari kwa ajili ya parking
Turnoff JF-Expert Member Mar 11, 2016 695 777 Apr 21, 2016 #17 Frank Wanjiru said: Ya kuelekea tiGO Makao Makuu. Click to expand... Ni nzuri sana.
C chini ya muti JF-Expert Member Mar 16, 2016 245 142 Apr 21, 2016 #18 du! mbona hiyo barabara ina matuta makubwa sana?
Turnoff JF-Expert Member Mar 11, 2016 695 777 Apr 21, 2016 #19 Frank Wanjiru said: Ya kuelekea tiGO Makao Makuu. Click to expand... na makao makao makuu yenyewe yapo vizur'
Frank Wanjiru said: Ya kuelekea tiGO Makao Makuu. Click to expand... na makao makao makuu yenyewe yapo vizur'
barafuyamoto JF-Expert Member Jul 26, 2014 32,375 29,732 Apr 21, 2016 #20 Dah, naona mkandarasi ametisha! Yaani hadi mtaro wa maji unaonekana fresh kabisa! No mafiriko.