Search results

  1. Mbu

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Hakika, Unapojiuliza kwanini mimi, Pia ujiulize kama si wewe angepaswa kuugua nani?! Hakika Mwenyezi Mungu ametujaaloa dhiki na faraja, yote ni mapito ya maisha, tumshukuru kwa yote.
  2. Mbu

    Hebu naombeni mnipe maoni yenu juu ya hili

    .....anatakupima kama bado ni mjinga vile vile au sasa ushaerevuka!?
  3. Mbu

    Mimi na mke wangu kiroho safi tunaenda kuachana rasmi

    Baada ya kuachana mtakuja gundua kumbe hamkuachana sababu yeye haamini unachokiamini. Ipo sababu,....
  4. Mbu

    Naombeni ushauri wenu juu ya huyu mtu🤔

    ...anachagua mbegu bora kwa kadri ya matakwa ya fikra zake. Endelea kuongea nae baada ya mavuno, Nini itakuwa hatma ya mahusiano yenu? Angalizo; Mwenyezi Mungu alipoweka fungano la ndoa, ilikuwa pia ni kwa ajili ya haki ya baba, mama na mtoto. Usijetumika tu kama sperm donor kisha baadae...
  5. Mbu

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Hahahahaha.... Huenda nyakati hazitumiki sawasawa kama ilivyokuwa zamani. Wanawake wanahitaji kupendwa, Wanaume tunahitaji kuheshimiwa. Zingatia neno kupendwa, Tusichoke kuwaonyesha upendo na mapenzi.
  6. Mbu

    Mke wangu hanipi haki ya tendo la ndoa, kila siku amechoka

    Pole sana, Huenda umri, uzito, majukumu, au afya inamsumbua. Mtafutie safari nje ya mji, mkoa, mwende mkapumzike wewe na mkeo angalau kwa wiki moja, mfufue mapenzi yenu kama yalivyokuwa, utaona mabadiliko. Kuambiwa "amechoka sana!" ni neno lenye maana pana, wewe ni mumewe, tumia hekima na...
  7. Mbu

    Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Pole sana. Sababu ipi, au sababu zipo zilikupelekea kuoa? Na je, matarajio yako yalikuwa nini baada ya ndoa? Kwa mtazamo wangu, hali unayoipitia ni ya kawaida sana. Kabla ya ndoa, kila mmoja wenu ali fake. Hata wewe ulifake kwake kama unamvumilia mapungufu yake. Hata kama huku fake, huenda...
  8. Mbu

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole sana kaka, Endelea kumpa faraja mkeo, jitahidi uwe karibu nae muda mwingi. Mkumbushe vitu, mambo mbali mbali, na nyakati za furaha mlizo share pamoja. Hakika itawapa faraja kwamba kuna nyakati Mwenyezi Mungu aliwapa furaha pia. Hali ya mgonjwa inakuwa na masononeko iwapo nawewe muuguzaji...
  9. Mbu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Pamoja bro [emoji1666]
  10. Mbu

    Si jukumu la Watoto kukuhudumia uzeeni...

    Hakuna mzazi, au mwanadamu yeyote ambaye anatamani kesho yake iwe na ugumu. Kuna sababu nyingi mzazi au wazazi wanashindwa kujiwekea akiba ya uzeeni, ikiwemo gharama za malezi na za kusomesha watoto wao. Sidhani kama ni haki kumlaumu mzazi kwamba alikuwa mzembe kutojiwekea akib. Mzazi...
  11. Mbu

    Naomba kuwaaga rasmi Wana JF, nikipona tutakuwa pamoja tena

    Sie ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ni marejeo. Dah, RIP.
  12. Mbu

    Msaada: Kila mwanamke ninayemuoa anakuwa na huyu kiumbe ndani yake, ni nani huyu?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dah?!
  13. Mbu

    Ushauri kwa Balozi Mulamula: Mkitaka Tanzania ifaidike na Diaspora suala la uraia pacha haliepukiki

    On spot [emoji736] Watu wanakuwa na fikra mbaya sawa na wale ambao binti akishaozeshwa anapoteza; haki za kutumia jina la ukoo.(surname) haki za kumrithi mzazi wake. haki za maamuzi ya kifamilia. haki za kurudi nyumbani. haki za kuzikwa na familia yake. etc etc
  14. Mbu

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    ....na mume mtu hatambui hayo mabadiliko katika mwili wa mkewe?
  15. Mbu

    Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

    ...sahihi kabisa. Sio dhambi kabisa kukiri kuwa alimpenda, na kujihakikishia harudiani na ex- ni mojawapo ya kipimo muhimu sana unachoweza jiwekea maishani. Ni maamuzi tu ya maisha, Kwa amani ya roho na afya ya akili.
  16. Mbu

    Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

    ....Urgh! Uliachana nae sababu watu “wote” humu walikushauri? Ulikosea. Ungeachana nae kwa matakwa yako wewe mwenyewe. No wonder una wasiwasi ukija na ID ile, watu wa humu watakuchamba. Usiishi kwa kuwafurahisha watu. Ishi kwa furaha yako mwenyewe. Mimi nakushauri usiifute namba yake, ...na...
  17. Mbu

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    Zamani, Hii jamii ya siku hizi mume utaonyeshwa sympathy ya kinafiki tu siku ya kikao, behind your back utasikia wanakung’ong’a “kama ana tatizo la nguvu ya kiume lazima asaidiwe!”
  18. Mbu

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    ...bado tunarudi kulekule kwenye self incrimination. Kwa mchepuko yeye anapigaje? Mwenyezi Mungu akitaka kukuumbua, majibu ya mume yanaweza rudi +ve, ya mke yakarudi -ve. Atumie kinga, Asimnyime unyumba mkewe. [emoji3][emoji3][emoji3]
  19. Mbu

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    ...hakuna formula maalum, Maana kila mtu na mtu wake. Mfano; kama mwamba alivyofanya hapo, karudi nyumbani bila taarifa...ndio akili yenyewe hiyo. Huyo mke hata akitaka chepuka tena itambidi atumie mbinu mpya.
  20. Mbu

    Mrejesho: Kilichotokea baada ya mke wangu kurudi saa sita usiku

    ...kwa hayo masikitiko ndio maana nikamshauri ni bora asamehe na ajifunze kuishi nae kwa akili. Angekuwa “msafi,” ningesema ana haki ya kuamua otherwise. Lakini, mwenyewe amekiri siku hiyo alikuwa na mpango na mchepuko wake ambao hata mkewe anamjua. Msamaha wa kweli toka pande zote ndio...
Back
Top Bottom