Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,753
- 7,845
Ameshafariki
Sie ni wa Mwenyezi Mungu na kwake ni marejeo.
Dah,
RIP.
Ameshafariki
Hayupo tena dunianiThis is very bad. Last seen ya@Beatrice Kamugusha ni 11:34pm ambo kweli ndiyo muda alipost hii thread yake. Mungu mpiganie apone. We still need her badly. Mungu mnusuru Beatrice. Nimesikitika mno
Jamani toeni picha yake huyu mwana JF mzalendi wa Taifa letu. Apumzike kwa amani.Hayupo tena duniani
Mkuu ulikuwa na mawasiliano nayeHayupo tena duniani
Ya kirohoMkuu ulikuwa na mawasiliano naye
Alikuwa karibu na Mungu, sie tunaona kuanguka kwake lakini Mungu aliona kitu kingine ndani yakeHiki ni kipawa na ufunuo wenye uvuvio wa kiroho.. Kuuona mwisho wako na kupata nafasi ya kuaga... Si kila mmoja kajaaliwa hili
Aaamen... Kufa ni faida kuishi ni KristoAlikuwa karibu na Mungu, sie tunaona kuanguka kwake lakini Mungu aliona kitu kingine ndani yake
Kuna wengine hata dar hatujawahi fika embu mlioko dar mtuambie regency ni wapi?naandika kutoka Regency Dar es salaam Tanzania
Hayupo tena.Cry a little in "his" remembrance!Kuna wengine hata dar hatujawahi fika embu mlioko dar mtuambie regency ni wapi?
Naona wengi wametoa pole ngoja na mimi nikupe pole kama wengine
Walio Karibu Na Mleta Mada Vp Afya Yake
Ailaze wapi mkuu?Kwenye mwanga mkali upofushao macho au mahali pema?Kuna uzi wa kifo chake
Amefariki dunia
Mungu ailaze pema roho yake
Mkuu hii taarifa ya kwel?? PlzKuna uzi wa kifo chake
Amefariki dunia
Mungu ailaze pema roho yake
Just googleKuna wengine hata dar hatujawahi fika embu mlioko dar mtuambie regency ni wapi?
Naona wengi wametoa pole ngoja na mimi nikupe pole kama wengine