Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Halafu mtu anakwambia tuna mechi ngumu na Newcastle

At 67 minutes against #Arsenal, Newcastle had a double decker bus set up and Nick Pope was taking 20 minutes to take goal kicks. Against United they were making positive substitutions to win the game. There are levels to this game, and United have been put in their place. #afc
 
haina haja kuumiza kichwa sna ili umfunge pep nd uchukuwe ubingwa.. arteta bd ana kazi kubwa ya kufanya kuweza ku match level z pep.

atawafunga makocha wengine wote kiuwepesi lkn
kw pep yey pia anajua jinsi itavkuwa tough..

game zilizobaki zote ni za muhimu na ni za kimahesabu zaidi!
 
We've seen this before
IMG_20230402_212710_050.jpg
IMG_20230402_212710_092.jpg
IMG_20230402_212710_129.jpg
 
haina haja kuumiza kichwa sna ili umfunge pep nd uchukuwe ubingwa.. arteta bd ana kazi kubwa ya kufanya kuweza ku match level z pep.

atawafunga makocha wengine wote kiuwepesi lkn
kw pep yey pia anajua jinsi itavkuwa tough..

game zilizobaki zote ni za muhimu na ni za kimahesabu zaidi!
Arsenal must win at least 7 games out of 9 kwa zilizobakia kuwa EPL Winner hii ni marathon anything can happen
 
Nyota wa Newcastle Jacob Murphy awasifu Zinchenko, Saka na Martinelli.

Murphy alisema kuwa ilikuwa "ngumu" kucheza dhidi ya Zincheko, alisema kuwa Zincheko anatupita "kati" yatu na Sean Longstaff na ukiangalia hakuwa na haki ya kufanya hivyo.

Unaweza kufikiri uko katika hali nzuri ya ulinzi(kumkaba),na hawawezi kufanya chochote lakini Zinchenko "bado anapiga pasi" hapo hapo ulipo.

kwa Saka na Martinelli,

Saka ni "muuaji" na Martinelli " anatisha"

Wachezaji hawa watatu bila shaka ndio chachu ya kugombea taji kwa Arsenal, na wanaonyesha ni shida ngapi husababisha kwa timu zingine.
IMG_20230403_201632.jpg
 
SILAHA KUU 2 ZA BUKAYO SAKA

Ndiye winger anaongoza kwa kufanikiwa kwenye 1v1 , baada ya timu nyingi kugundua Hilo mikakati huwa asiachwe na beki mmoja au wawili ,Manjesta walimuachia hii kazi Luke Shaw kila mmoja anajua kilichomkuta pale Emirates, Saka sio Runner Kama Salah , anapenda kupokea mipira mbele ya beki , Kitendo Cha kumpelekea Saka mabeki wawili had wanne wamkabe Hilo huwa halimtishi anachofanya huwa anatoa PANGA(SILAHA YAKE YA 2)

SILAHA YAKE NO.2 huwa Ni Passing ability ambayo mara nyingi Ni hatari tupu

Faida iliyopo hizi pass zake huwa anazipokea Sana Martin Odegaard ambaye naye Ni kisanga



IMG_20230403_203230.jpg
 
Mechi ambayo binafsi nilianza kuigopa Arsenal

Mechi ambayo Pep Guardiola alisema alidhani Arsenal wataanza kushusha performance

Jacob Murphy from newcastle says the toughest opponent newcastle faced this year is Arsenal.

Arsenal are the best team technically and tactically in the league-
 
Back
Top Bottom