Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

Binadamu kuna nyakati tunapitia mitihani migumu sana,unaweza hata kujiuliza why me,nimefanya jambo gani baya zaidi kuliko wengine mpaka hili linapita kwangu,lakini kila jambo kwa Mungu lina maana yake,ukimsoma Ayubu kwenye Biblia na mateso aliyopitia unaweza kupata faraja na kusonga mbele,huku ukimuachia Mungu kila kitu mpaka mwisho utakapotimia.Ushauri wangu ni kuwa ishi maisha ya kumtukuza yeye kila wakati ili aweze kuwa pamoja na wewe kwenye jaribu lako...
 
Kwan mkuu wewe uko wapi? Mbona Kawe Arise and Shine watu wanapona Cancer na migongojwa mikubwa mikubwa tuu? (Not joking). Mpeleke mkuu,utamshukuru Mungu na ushauri wangu
 
Habari zenu wakuu!

Kuna uzi nilileta humu (jukwaa la afya) kuelezea namna mke wangu anavyopambania uhai wake kwa ugonjwa wa saratani ya matiti.

Kwakweli matumaini ya mke wangu yanazidi kufifia sana, naona kwa sasa anakaribia mwisho wa uhai wake.

Napata hisia kali sana ambazo ukisoma hapa huwezi kuzihisi mpaka labda upatwe na jambo kama hili.

Najua wapo wazoefu waliopitia hali kama hii, ijapokua hali hii kila mmoja anaweza kuimudu kwa namna yake ila najua walau wanaweza kusaidia namna ya kumudu hisia hizi.

Kwa ambaye hujapitia nyakati kama hii kwa mpendwa wako, sijui hata nikusimuliaje!

Sijui kwa namna gani nitaweza kumudu kusahau hii hali ndugu zangu.
Ahsanteni
ndugu yangu pole saana kubwa unapaswa kuamini ya kuwa wote sisi ni wa mwenyez mungu na kwake ndo marejeo hivyo unapaswa kutambua we unaweza tangulia au hata mie hapaa nayekuandikia kwahy kuwa na subira ktk hili unalopambana nalo
 
Habari zenu wakuu!

Kuna uzi nilileta humu (jukwaa la afya) kuelezea namna mke wangu anavyopambania uhai wake kwa ugonjwa wa saratani ya matiti.

Kwakweli matumaini ya mke wangu yanazidi kufifia sana, naona kwa sasa anakaribia mwisho wa uhai wake.

Napata hisia kali sana ambazo ukisoma hapa huwezi kuzihisi mpaka labda upatwe na jambo kama hili.

Najua wapo wazoefu waliopitia hali kama hii, ijapokua hali hii kila mmoja anaweza kuimudu kwa namna yake ila najua walau wanaweza kusaidia namna ya kumudu hisia hizi.

Kwa ambaye hujapitia nyakati kama hii kwa mpendwa wako, sijui hata nikusimuliaje!

Sijui kwa namna gani nitaweza kumudu kusahau hii hali ndugu zangu.
Ahsanteni
Pole sana we Muachie Mungu..
 
Nicheki PM nikusaidie
 
Mkuu nilikupa dawa umepuuzia, narudia teba hizi dawa nina uhakika nazo kwa asilimia 100, kuna mtu alishapona na dawa zangu akiwa kwenye stagge aliyopo mkeo. Jaribu kumpa, ale stafeli hata 5 kwa siku na majani yake yawe ndo maji ya kunywa lita 2 au zaidi kwa siku. Utaokoa maisha ya mkeo
Kuna mtu hata ukimwambia simba huyo hapo, panda juu ya mti, hawezi kukusikia atabaki hapo hapo akisubiri kutafunwa huku akilalamika kuwa anaonewa.
 
Pole sana Mkuu! Mungu ni Mwamini atamkumbuka katika Ufalme wake! Zaidi sana akutie nguvu ili uhimili jaribu hilo mpaka mwisho!
Ushauri wangu katika hatua hizo usisahau kumtafuta Mchungaji hapo wa Kanisa linalohubiri Wokovu au Mlokole ye yote aje ' Kumwongoza Sala ya Toba na kumfanyia maombi' ! Then mwachie Mungu afanye aonavyo!
 
Habari zenu wakuu!

Kuna uzi nilileta humu (jukwaa la afya) kuelezea namna mke wangu anavyopambania uhai wake kwa ugonjwa wa saratani ya matiti.

Kwakweli matumaini ya mke wangu yanazidi kufifia sana, naona kwa sasa anakaribia mwisho wa uhai wake.

Napata hisia kali sana ambazo ukisoma hapa huwezi kuzihisi mpaka labda upatwe na jambo kama hili.

Najua wapo wazoefu waliopitia hali kama hii, ijapokua hali hii kila mmoja anaweza kuimudu kwa namna yake ila najua walau wanaweza kusaidia namna ya kumudu hisia hizi.

Kwa ambaye hujapitia nyakati kama hii kwa mpendwa wako, sijui hata nikusimuliaje!

Sijui kwa namna gani nitaweza kumudu kusahau hii hali ndugu zangu.
Ahsanteni
Bro pole sana mkuu. Najua unapopitia chief Mwenyezi Mungu akusaidie uvimilivu wakat huu mgumu. Cha kujifunza humu dunian usipende kitu sana wala usitegemee chochote. Saa na muda tusiodhan kuna Jambo litatokea libadilishe kila kitu so that's Life bro. Kuna muda wa kusema kwaheri. We will see u on the other side.
 
Habari zenu wakuu!

Kuna uzi nilileta humu (jukwaa la afya) kuelezea namna mke wangu anavyopambania uhai wake kwa ugonjwa wa saratani ya matiti.

Kwakweli matumaini ya mke wangu yanazidi kufifia sana, naona kwa sasa anakaribia mwisho wa uhai wake.

Napata hisia kali sana ambazo ukisoma hapa huwezi kuzihisi mpaka labda upatwe na jambo kama hili.

Najua wapo wazoefu waliopitia hali kama hii, ijapokua hali hii kila mmoja anaweza kuimudu kwa namna yake ila najua walau wanaweza kusaidia namna ya kumudu hisia hizi.

Kwa ambaye hujapitia nyakati kama hii kwa mpendwa wako, sijui hata nikusimuliaje!

Sijui kwa namna gani nitaweza kumudu kusahau hii hali ndugu zangu.
Ahsanteni
Duh, mkuu pole sana aisee! Nimejaribu tu kujivika viatu vyako kwa sekunde kadhaa macho yamenilengelenga! Ni Mungu pekee ndiye atakayeweza kukupa ujasiri na kifua cha kukabiri hayo!
 
Wallah mkuu Nicheki kwa hii namba 0712154330 maelekezo ntakayo kupa inshallah itabaki historia mana nliwaona wamama zaidi ya watano wametoroka Ocean Road kuja kutibiwa hapo kwa dawa ya kunywa tu ya mitishba.Nipigie au andika sms napiga mwenyewe.Sihitaji hata mia kutoka kwako.Please mwambieni anicheki.Pm nqshindwa kwenda.
 
Back
Top Bottom