Fredy89
Member
- Jun 28, 2012
- 92
- 93
Nimeshaongea nae sana, hamna chochote hapo, hana hasira zozote wala hakuna ugomvi wowote kati yetu, zaidi ya ugomvi wa kuhusu hilo la yeye kuwa amechoka kila siku.
ni mpenzi mkuuPole mkuu! Ni mke au mpenzi tu?