Za muda huu wakuu wa mambo
Moja kwa moja kwenye mada, tokea nije Dodoma sio nguo sio ngozi lazima vibadilike ila nikirudi DSM hali inakuwa nzuri mno
Nguo - ukiifua zaidi ya mara 5 kama ni nyeusi mpauko utakao uona huwezi kuitamani hiyo nguo na rangi nyingine ni nafuu ila nyeusi ndio mwisho...
Wakuu niaje
Moja kwa moja kama ww ni mpenzi wa magari na movie bhas nakushauri usisite kuitafuta movie ya ford vs ferrari bonge moja la drama kuhusu racing na magari.
Theme ya movie ni kuna jamaa muingereza kwa majina anaitwa ken miles ni jini akiwa kwenye steering wheel anaungana na retired...
Wakuu niaje
Asee moja kwa moja kwenye mada kibongo bongo ukimuona v8 cruiser unaiheshimu ila kuna huyu mnyama lexus lx570 ni wa moto sana kwanzia interior and exterior design.
Kuhusu hp performace mnyama lexus wa moto pia mjapan toyo ana 381hp huku mnyama lexi cute ni 383hp. Picha hapo...
Wakuu za muda huu
Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache
Wall street ni nini??
Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa...
Wakuu
Kila janga ni fursa
Moja kwa moja kwenye mada nina geto Dodoma. Lipo ndani ya uzio(ukuta na geti) wapangaji wengi ni wanachuo na baadhi wasio wanachuo, pia mwenye nyumba haishi hapo.
Mnamo tarehe 13/03/2020
Niliondoka nakuingia mjini Daslam na kupelekea kukaa mpaka janga la corona...
Nimeamka zangu asubuhi nikala mihogo ya kuchemsha na chai ,baada ya muda kidogo maza angu mmoja hivi ninae kaa naye akaweka kisamvu jikoni .
Kuja kufatilia kumbe majani ya kisamvu yanatoka kwenye muhogo.
Kiufupi leo nimekula majani na mizizi ya muogo.
Wakuu za muda huu,
Moja kwa moja kwenye mada au swali , mm ni mwanachuo nasoma Dom ila naishi dar kuna baadhi ya vitu nataka nivipeleke kwenye geto langu la dom (kitanda 5*6,tv ,fridge)
Sasa wakuu nilikuwa nataka kujua kama kuna usafirishaji mwengine ukitoa wa bus maana hawataki kusafirisha...
Niaje wanyakwezi
Moja kwa moja kwenye mada nimekuletea mjadala hapa tufunguke nani mnyama wa mumble na caption lyrics kati ya hao wawili, binafsi kwangu Gunna anajua kuliko Baby , fact zipo nyingi ila cha kushangaza Baby ndo anapataka attention kubwa ila dua 2
Mfano mdogo album zao za mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.