DOCTOR UZI
Member
- Apr 28, 2020
- 99
- 79
Niaje wanyakwezi
Moja kwa moja kwenye mada nimekuletea mjadala hapa tufunguke nani mnyama wa mumble na caption lyrics kati ya hao wawili, binafsi kwangu Gunna anajua kuliko Baby , fact zipo nyingi ila cha kushangaza Baby ndo anapataka attention kubwa ila dua 2
Mfano mdogo album zao za mwisho kati ya wunna ya gunna na my turn ya baby. Kwa mnyamwez yoyote anaweza kukubaliana na mimi Gunna fundi album yote kalii🔥 ila Baby unachaguachagua
Funguka hapa NB: Thugger thugger is legend kakuza, kawatoa na kuinspire mumble rappers wengi sana. YSF 4L