Ford VS Ferrari ( A Must see movie)

DOCTOR UZI

Member
Apr 28, 2020
79
125
Wakuu niaje

Moja kwa moja kama ww ni mpenzi wa magari na movie bhas nakushauri usisite kuitafuta movie ya ford vs ferrari bonge moja la drama kuhusu racing na magari.

Theme ya movie ni kuna jamaa muingereza kwa majina anaitwa ken miles ni jini akiwa kwenye steering wheel anaungana na retired driver ambaye ni automotive designer anaitwa carroll shelby (matt damon) kutengeneza mwiba mmoja kwa ajili ya ford motor ila wa battle na ferrari kwenye racing ya 24 hrs of la mans france mwaka 1966.

Ni bonge moja la must see movie so much inspiring kutoka kwa henry ford to much sucess appetite kutoka kwa enzo ferrari.
Angalia ulete mrejesho.

"that there is a sport car yu have to drive her like a sport car if yu drive her like a schoolteacher she'll clog up . Drive it like yu mean it . Tight and hard . She'll run clean".
 

ipyax

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,448
2,000
Kuna nyingine inaitwa RUSH based on true story rivalry between Nicky Lauda vs James Hunt kwenye formula one race miaka ya 70 ni balaa. Wapenzi wa mbio za magari mtainjoi sana .
 

DOCTOR UZI

Member
Apr 28, 2020
79
125
Duuh kweli kila mtu na akipendacho, yaani mamovie ya car racing yalishanishadaga kutazama kabisa kma sijui fast and furious nilitazama dk 2 tu nikafuta kila kitu, aaaarghh

Mamovie mengine ya western a.k.a macowboys yaani daah sitazami kwa kweli.
ANGALIA HII NI TRUE STORY HAINA MBWEMBWE
 

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
48,165
2,000
Ken Milles.

Huyu jamaa alikuwa N.Y.O.K.O.

Le Mans aliwazunguka wenzake zaidi ya mara tatu.

Ferrari wote walitolewa mashindanoni baada ya kulipua injini zao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom