DOKEZO Threads

Naomba tufikishie kilio chetu sisi maagent wafanyakazi wa TRA ukienda floor namba 10 utakuta foleni kama wanangoja mwendokasi kupata huduma, wakati kuna mfumo upo kwa system ingesaidia kumaliza...
0 Reactions
9 Replies
647 Views
Kuna kampuni inaitwa SUMA JKT ni wababaishaji sana. Katika Bandari ya Tanga wanalipa vibarua kwa mateso, vibarua hawalipwi kwa wakati pesa zao. Kingine pesa za PSSSF; mtu pesa alioingiza kwa...
2 Reactions
40 Replies
3K Views
Nimeona hili habari, isome kisha nami nitatoa maoni yangu... Zahanati ya Mashati, Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro, iliyotajwa kujengwa zaidi ya miaka tisini iliyopita ipo hatarini kuanguka...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Eneo la Kawe katika Kituo cha Daladala cha Maringo kuna hali ambayo imekuwa ikinikera kwa muda mrefu, mitaro inayopotisha maji inazibwa kwa makusudu kwa kutumia viroba na vijana wanaofanya...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Filosofia ya Rorya
DOKEZO Responded 
Kilo ya sukari Tz imefika Tshs.5,000/, nadhani serikali inatakiwa itoe tamko kutupatia walaji mwongozo wa kufuata kutoka kwenye anguko hili. Sababu tunayopewa ni dhaifu kwamba mashamba ya miwa...
15 Reactions
144 Replies
26K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Ofisa Utumishi mmoja ambaye alihudumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu kwa kushirikiana na Afisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii PSSF wanaida...
11 Reactions
81 Replies
10K Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari Wakuu? Nimepita Mitaa ya Mikocheni leo na kukuta Kituo cha Mafuta cha Barrel kilichopo Mikocheni kinaendelea kufanya kazi ikiwa ni takriban mwezi mmoja tangu Waziri wa Ardhi, Nyumba na...
1 Reactions
9 Replies
946 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Mimi ni mkazi wa Mwanza, Wilaya ya Ilemela naomba msaada kwa mamlaka zinazohusika kuhusu ndugu yetu. Kuna ile habari ya yule kijana aliyekamatwa Namtumbo (Ruvuma) kwa kosa la kuhubiri watu...
2 Reactions
12 Replies
907 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni mdau niliye ndani ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi (FDC SAME) Kumekuwa na changamoto ya Mkuu wa Chuo kutopenda kuhojiwa kuhusiana na masuala ya matumizi ya fedha. Hali hiyo imesababisha...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Roving Journalist
DOKEZO Responded 
Kwa mara nyingine tena, Jeshi la Polisi Mkoani Simiyu linatuhumiwa kuhusika katika kifo cha Mwananchi aliyekamatwa na Askari Polisi kisha kudaiwa kumpiga na kumsababishia maumivu makali na...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Ni mara nyingi nimeona haya magari ya wanaokusanya taka mitaani, na wale wanaopitia taka majumbani wakifanya kazi zao katika mazingira hatarishi yasiyojali afya ya ya watu wale. Wamekuwa wakizoa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mikopo inayotolewa na hazina katika mkoa wa Tabora imejaaa rushwa na ukilitimba. Hii ipo zaidi katika Tabora manispaaa pamoja wilaya ya Uyui ambapo maafisa utumishi wako wazi kabisa...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
TANGAZO KWA WAKUU WOTE WA SHULE MOSHI MANISPAA: Wakuu wa Shule za msingi Moshi Manispaa, Mkoa wa Kilimanjaro ,tafadhali wasilisheni michango kwa ajili ya chakula cha walimu watakaohudhuria semina...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Shule ya msingi Kitanda ni shule ambayo ipo katika kata ya Kitanda halmshauri ya Mbinga mji ,ni shule ambayo ipo kilometer 15 kutoka makao makuu ya halmshauri ya Mbinga mji na makao makuu ya...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7. Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco. Mwenye namba ya simu...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna vitu vinaumiza na kukera sana kwenye jiji la Dar es Salaam. Hali ya Masoko yake ni mbaya mno, ni ajabu sana kuamini Masoko haya yapo Dar es Salaam, sehemu inayoongoza kwa makusanyo nchi...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna utaratibu umezoeleka kwa Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) kusimamisha Magari na kutaka Madereva au kama ni Daladala basi Kondakta amfuate alipo bila hata kukagua Gari. Huu utaratibu...
0 Reactions
1 Replies
445 Views
Benki kuu ya Tanzania ni taasisi kubwa na yenye heshima kubwa. Kuna jambo silielewi, sisi tuna madai yetu ya pesa za likizo za mwezi wa 12 mwaka jana. Hatujalipwa mpaka leo. Tukifuatilia kwa...
0 Reactions
3 Replies
587 Views
Anonymous
DOKEZO 
Dampo lililopo kwenye soko la Stereo hapa Tekeme, Dar es Salaam ambapo ni sehemu kwa Wauzaji wa soko hili kuhifadhi takataka baada ya wao kufanya usafi kwenye maeneo yao, limekuwa ni kero kubwa...
1 Reactions
0 Replies
971 Views
Trubarg
DOKEZO Responded 
Habari wadau. Kumekuwa na wimbi la wafanyakazi wa NHIF waliopo mahospitali kuwataka wazazi wabadilishe vitambulisho vya watoto kwakuwa picha zilizopo kwenye vitambulisho hazifanani na watoto...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Back
Top Bottom