DOKEZO Threads

Waziri wa TAMISEMI huyu mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru akishirikiana na personal secretary(PS) wake wanawanyanyasa sana watumishi hasa walimu. Huyu PS anaficha barua ya mtumishi...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Leak
DOKEZO Responded 
Tumekuwa tukisikia hapa Duniani hasa Tanzania kuwa huwa kuna degree za bure na wengine wamekuwa wakisema kuna degree za chupi, lakini sijawai kusikia au kuona watuhumiwa wakikiri kufanya uhalifu...
7 Reactions
141 Replies
11K Views
Anonymous
DOKEZO 
Baadhi ya shule za sekondari wilaya Mbinga zimeanzisha hostel bubu ambazo hazifai kwa matumizi ya wanafunzi hususan wa kike hasa madarasa ya mitihani na hata zile shule zenye hostel za wasichana...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mnamo tarehe 10/02/2024 Hr wa kampuni ya ulinzi ya G1 security iliyopo upanga jijini dar es salaam mtaa wa kitonga,kwa kushirikiana na baadhi ya watendaji wengine,walijaribu kumuua mmoja wa...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Wananchi wa kijiji cha Hurui, kata ya Kikore wilaya ya Kondoa mkoani Dodoma, wamelalamikia kitendo cha askari polisi wilayani humo, kuwakamata na kuwapiga wakiwa uchi wa mnyama usiku wa manane kwa...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kuna ajira zilitolewa na Tamisemi mkataba JamiiForums JamiiCheck
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wa Tanzania hivi karibuni umefanya marekebisho katika kifurushi chake kinachohusisha pia dawa, yakiwemo madawa ya antibiotic, ambapo imepunguza sana bei...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO 
Asee kuna hili jambo linanikera sana na lina Waharibia Wanafunzi future yao. Nikiwa Mdau muhimu wa Elimu naumia sana kuona Waalimu wa kiume kukatisha ndoto za mabinti kwa kukuanzisha uhusiano nao...
7 Reactions
18 Replies
3K Views
Kujali afya ya binadamu mwenzio hata kama unafanya biashara na unatafuta hela ni muhimu sana. Wafanyabiashara mnatuua bila huruma sisi waja wema. Nimefika Mbezi mwisho barabara inayokwenda...
15 Reactions
65 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO 
Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi. Katika maelezo ya waziri...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Waswahili usema ukistaajabu ya Musa utayaona ya Felauni. Ukielezwa unaweza usiamini lakini ndio hiko hivyo. Wananchi wengi wa Kanda ya Ziwa waliozungukwa na Ziwa Victoria wengi wao utegemea...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Umoja wa Watoa Huduma Sekta ya Binafsi APHTA, Mashirika ya Dini (CSSC), na Bakwata wanapenda kutaarifu umma kuwa mazungumzo yaliyokuwa yakifanyika baina ya umoja huo na Wizara ya Afya. Kamati ya...
9 Reactions
164 Replies
14K Views
Mwenyekiti wa Vijana CCM (UVCCM), Kata ya Bwilingu (Chalinze-round about) Ndugu Abdul Nasa ameendelea kukitumia vibaya cheo cha baba yake (Diwani Kata ya Bwilingu Jimbo la Chalinze). Inadaiwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mshindi ni Mkenya, ila kwenye Malipo anakuwa Mtanzania…!
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna jambo la naona wengi tunalalamika ila hakuna linapofika. Miezi kadhaa iliyopita Hospitali ya Muhimbili ilianzisha tozo za parking ambazo ilikuwa ukikaa chini ya nusu saa ni bure ila...
11 Reactions
44 Replies
21K Views
Leo nilifika kituo cha afya Kimara baada ya ndugu yangu kuniita nikalipie gharama ili mtoto wake apatiwe matibabu baada ya kuanguka na kuumia mguu. Picha linaanza kuingia kwa daktari, mama wa...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
GRACE HONDI TLUWAY ni mgonjwa ambaye alienda mchana wa Saa Saba katika Hospitali ya Magunga kwa ajili ya kupata matibabu na aliondoka bila kupatiwa dawa kwa madai ya mtandao. Alipelekwa tena...
3 Reactions
2 Replies
729 Views
Anonymous
DOKEZO 
Afisa mtendaji wa kata ya Malindi, iliyoko tarafa ya Mlalo, wilaya ya Lushoto - Tanga, amechukua maeneo makubwa ya shule ya sekondari Mtumbi na kuyakodisha kwa watu mbalimbali kwa manufaa binafsi...
1 Reactions
1 Replies
680 Views
Wakazi wa Hale tunashukuru kwa kuletewa kituo ambacho kitasaidia kwa kiasi kikubwa kusaidia wakazi wa maeneo yaliyo karibu yake. Ila kweli Mzava, ndio tuletewe mganga (dokta) ambaye alikuwa na...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Waziri wa fedha na mipango Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amewaita vijana mbalimbali toka Kanda ya Ziwa na kukutana nao mkoa wa Singida mnamo tarehe 22.02.2023 kwa kile alichodai kuwa ni kumsemea mama...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Back
Top Bottom