DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Nadhani mnakumbuka Hospitali ya Amana ilishiriki kuhudumia Wagonjwa wa COVID-19 hiyo ilikuwa kuanzia Mwaka 2020, sasa katika ile kazi kulikuwa kuna posho ambayo Watumishi na Vibarua ilitakiwa...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Wilaya ya Kigamboni, Kata ya Kisarawe 2, Mitaa ya Mwasonga, Sharrif na Madege wamelipwa fidia isiyo stahiki na Mwekezaji ambaye ni Kampuni ya Nyati Sand Resources Ltd inayomilikiwa na Strandline...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni dereva wa malori yanayobeba simenti katika Kiwanda cha Simenti cha Rhino (kwa Mchina) kipo Kange Mkoani Tanga. Vyoo ni vibovu havina miundombinu ya maji wala taa, hivyo kusababisha watu...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Anonymous
DOKEZO 
Nilisafiri October 2023 ambapo escalator za terminal two zilikuwa hazifanyi kazi. Mwaka huu nasafiri tena nakuta escalator hazijatengenezwa. Kimisingi nimeumia kuona wamama ambao kutumia ngazi...
0 Reactions
0 Replies
245 Views
Wenye mamlaka leo naomba kufikisha kero yangu kuhusu ubovu wa Mifumo ya Malipo ya Ada na Utoaji Matokeo ya Mitihani ambayo imekuwa na usumbufu kwa Wanafunzi kutokana na Matokeo kutowekwa kwenye...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kituo cha Afya kilichojengwa Kata ya Mkumbi, Halmashauri ya Mbinga Vijijini Mkoa wa Ruvuma kimechukua muda mrefu kukamilika, tatizo ni siasa na mizunguko kibao. Kwanza tangu mradi uanze aliyekuwa...
0 Reactions
0 Replies
775 Views
Baada ya Salam. Ndugu zetu Watanzania wenzetu kwanza tunaomba Dua zenu. Huku Katavi Kuna mauaji sana mpaka inatisha. Karibia Kila wiki kuna mtu anauwawa kwa kuchomwa na visu. Kunakikundi...
12 Reactions
72 Replies
6K Views
Anonymous
DOKEZO 
Wakuu heshima mbele, niende moja kwa moja kwenye mada. Pengine inaweza kuonekana kama jambo la ajabu kwangu mimi naweza kuchukua hatua je wangapi wasiojua hili? Ipo hivi majuzi nilitinga katika...
0 Reactions
0 Replies
371 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Sisi wakazi wa Sombetini Jijini Arusha tuna changamoto ya kupata maji yasiyo salama kutoka kwenye mabomba ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Arusha (AUWSA). Hii hali ilikuwepo miezi...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Nipo moshi mitaa ya.rombo.pombe asilimia 80 nilizohakiki kwa kutumia program ya ya.hakiki stemp ya tra.zinaonyesha ni feki.hivi wahusika wako wapi?.₩atu wanauziwa sumu.biashara...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
DogoWaNjombe
DOKEZO Responded 
Wakazi wa Mtaa wa Kawe Jijini Dar es Salaam, wameliomba Jeshi la Polisi Nchini kuongeza ulinzi hasa nyakati za jioni katika maeneo ya Tanganyika Packers ikidaiwa kuongezeka kwa vitendo vya ukabaji...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna Mwalimu (jina linahifadhiwa) anayefundisha Shule ya Nanhyanga Sekondari iliyopo Tandahimba Mkoani Mtwara, anaweza kudhuriwa na jamii inayomzunguka kwa kuwa wanamtuhumu kwa mambo mbalimbali...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilisikia siku nyingi kwamba Kanisa la KKKT Kimara Korogwe tunaloliamini kwa mambo ya kiroho, kijamii na ustawi bora ukiacha ile ahadi ya kutuandaa kwa ajili ya ulimwengu ujao kwamba unatiririsha...
3 Reactions
35 Replies
3K Views
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià...
10 Reactions
129 Replies
11K Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Mimi ni mkazi wa Mkoa wa Tabora, Wilaya ya Kaliua, kero yetu huku ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuchelewa kutoa kadi za Uanachama baada ya kutuma maombi. Inauma na inakera kwani...
2 Reactions
4 Replies
975 Views
Anonymous
DOKEZO 
Ni kwa miaka mitatu sasa bodi ya filamu nchini Tanzania imekuwa ikiandaa tamasha la filamu nchini. Na kila mwaka kumekuwa na maneno ya kukatisha tamaa kwa waandaaji filamu nchini kutokana na hisia...
1 Reactions
1 Replies
596 Views
Anonymous
DOKEZO 
Watumishi wa afya Hanang tumesainishwa karatasi za malipo ambazo hazioneshi kiasi tutakacholipwa matokeo yake wengine wamelipwa half per diem na wengine wamelipwa kwa extra duties na wengine...
1 Reactions
3 Replies
628 Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari, Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu. Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu...
0 Reactions
1 Replies
416 Views
Anonymous
DOKEZO 
Hivi karibuni Jeshi la Polisi lilitangaza nafasi za ajira katika mikoa tofauti, kilichokuwa kinafanyika ni wale tunaohitaji kuomba tulitakiwa kufanya hivyo kupitia ngazi ya Mkoa. Mkishafanya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anonymous
DOKEZO 
Ningependa kuwauliza wizara ya Uchukuzi kupitia Waziri Bashungwa ni lini Kituo cha ukaguzi wa mizigo kilichopo kata ya Misugusugu mkoani Pwani kitahamia Vigwaza kuliko jengwa kituo kikubwa cha...
0 Reactions
0 Replies
315 Views
Back
Top Bottom