Blackperson
Member
- Feb 29, 2024
- 36
- 30
Aisee!Duuh nyie mliajiriwaje bila tangazo? La ajira? Au ndio michongo?
Tangazo lilitoka Jan 26,database ya mwaka jana 2023Duuh nyie mliajiriwaje bila tangazo? La ajira? Au ndio michongo?
Wewe ni afisa utumishi au Tamisemi mwenyewe.Mbona hata mwezi kuisha bado ushaanza kulialia?
Kulia Julia hadi mwishowasio na ajira wana lia.wanao pata ajira nao wana lia dadeki ajira zilikuwa enzi za Jk after apo ni vilio tu
Tulia acha wenge mtalipwa.Habari za mchana.
Kuna ajira Tamisemi walizotoa mwezi wa kwanza walizoziita Mradi wa mama na mtoto zikiwa chini ya halmashauri.
Ajira zilimtaka mtumishi kwenda kuripoti katika halmashauri kwa mkataba wa Miaka miwili zikiwa zinasimamiwa na Tamisemi chini ya ufadhili wa Word Bank(WB) kwa Mradi ufamikao kama Tanzania maternal and child health initiative (TMCHIP)
Waajiriwa wapya Tumefanikiwa kuripoti katika vituo vya kazi ndani ya mwezi wa pili.
Hatujalipwa Mshahara wa mwezi wa pili wala Hela ya kujikimu.
Tumepokelewa katika mazingira magumu sana na Tunafanya kazi katika mazingira magumu.
Nimeamua kusemea Jamiiforum nadhani sauti Yetu kama Tukipaza itaweza kusikika.
Ahsante.
Utakuwa kada Ccm.Tulia acha wenge mtalipwa.
Wenzenu tulikaa miezi kadhaa kabla ya kulipwa ila baadae tulianza kulipwa stahiki zetu.
Hata mwezi hauna tangu uwe kazini halafu unalia lia?.
Mimi niko kazini tena miaka mingi lakini hata hela ya kujikimu miaka hiyo wakati ninaanza kazi sijawahi pewa hadi leo ila maisha yanaenda.
Ukifikisha miezi mitatu hauelewi hatma yako hapo ruksa kulalamika.
Acha kaziUtakuwa kada Ccm.
Unaongea kirahisi tu.
Mkuu tunasaidia , Hatuko hapa kutengeneza matatizoTulia acha wenge mtalipwa.
Wenzenu tulikaa miezi kadhaa kabla ya kulipwa ila baadae tulianza kulipwa stahiki zetu.
Hata mwezi hauna tangu uwe kazini halafu unalia lia?.
Mimi niko kazini tena miaka mingi lakini hata hela ya kujikimu miaka hiyo wakati ninaanza kazi sijawahi pewa hadi leo ila maisha yanaenda.
Ukifikisha miezi mitatu hauelewi hatma yako hapo ruksa kulalamika.
Kama umeajiriwa Mwezi January 26,Habari za mchana.