Recent content by Ustaadh

  1. Ustaadh

    Mahakama yaingilia Bunge kuzuia suala la Escrow lisijadiliwe!

    Once a fisadi, always a fisadi
  2. Ustaadh

    Banda afuta Uchaguzi Malawi, utarudiwa ndani ya siku 90

    TZ wataweka nta masikioni......
  3. Ustaadh

    Ni halali kwa wakuu wa Mikoa na wilaya kuvaa nguo za CCM?

    Kwa hiyo Mkuu wa mkoa wa Mbeya ambaye yeye hakuvaa nguo zinazoshabihiana na rangi za chama hamuwakilishi Rais? Kumwakilisha Rais sharti uvae kichama-chama?
  4. Ustaadh

    Ni halali kwa wakuu wa Mikoa na wilaya kuvaa nguo za CCM?

    Kuna baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya ambao huvaa nguo zinazoshabihiana na rangi za bendera ya chama tawala wakati wa kuwapokea viongozi wa kichama. Hivi ni halali wao kufanya hivyo na hasa ukizingatia wao ni wanaongoza wananchi wote bila kujali itikadi za vyama? Picha kushoto ni Mkuu wa mkoa...
  5. Ustaadh

    Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

    Kuna wakati aligonga sana vichwa vya habari na aliahidi kuweka mambo hadharani. Ni muda sasa hajasikika. Any updates?
  6. Ustaadh

    Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

    Tatizo ni mfumo uliopo - kubadili watu si dawa kama mfumo uko pale pale. Tusihadaike na kanzu mpya, shekhe ni yule yule!
  7. Ustaadh

    Ni kweli Kikwete ana Degree?

    ni ukweli ulio wazi - siasa imekuwa kila kitu!
  8. Ustaadh

    Kanisa lakusanya mamilioni kutoka kwa waumini ili ziombewe

    Tunaamini Mungu ni mmoja - dini nyingi za nini?
  9. Ustaadh

    Mzazi ahoji ni kwa vipi mtoto wake alifaulu la saba

    MKAZI wa Kijiji cha Mohoro amepeleka malalamiko kwa mwenyekiti wa kijiji hicho akiomba apewe ushauri wa nini cha kufanya baada ya mwanawe wa kiume kufaulu mtihani wa darasa la saba wakati hajui kusoma na kuandika.Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Maendeleo ya Kata ya Chumbi...
  10. Ustaadh

    US Marine soldiers urinating on dead bodies!

    Perry: Marines in video are 'kids,' not criminals WASHINGTON (AP) - Republican presidential hopeful, Texas governor Rick Perry, is accusing the Obama administration of "over-the-top rhetoric" and "disdain for the military" in its condemnation of a video that purportedly shows Marines urinating...
  11. Ustaadh

    Nyakati hizi ni kati ya saa ngapi na saa ngapi?

    Kwa wanaofahamu naomba mnijuze ALFAJIRI, ASUBUHI, MCHANA, ALASIRI, JIONI, USIKU, USIKU WA MANANE ni kuanzia saa ngapi hadi saa ngapi?
  12. Ustaadh

    Mh Kenister Mhagama ni mapepe

    "Hii ndiyo style ya ma-ccm kudandia kila kitu mf. Katiba, ajenda ya ufisad nk?" ....CCM INAHUSIKAJE KATIKA HILI?
  13. Ustaadh

    Maalim Seif: Zanzibar iwe na Benki Kuu yake

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi (Cuf), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema ni muhimu kwa sasa Zanzibar kuwa na benki kuu yake ikiwa inataka kutumia kikamilifu rasilimali zake kujenga uchumi wake. Maalim Seif ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, akizungumza katika viwanja vya...
  14. Ustaadh

    Kero kunako 6 kwa 6

    Wengine wanashindwa kuji-control....wengine ni makusudi....wengine ......wengine..... wengine....
  15. Ustaadh

    Maafa ya mafuriko - kitengo cha maafa pmo mbona hakisikiki?

    Kama kumbukumbu zangu ni sahihi huwa kuna kitengo cha maafa ambacho kiko chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Tangu tupate janga la mafuriko sijasikia pilikapilika za kitengo hiki. Ningetarajia kuwa kingekuwa msitari wa mbele katika kuongoza/kuratibu shughuli nzima ya kusaidia waathirika wa mafuriko...
Back
Top Bottom