Ni kweli Kikwete ana Degree?

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
Wasomi naomba msaada hapa.

Nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary, nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa ccm wa dar ilionekana kama ni msomi sana,lakini nimemfatilia tena kwenye hotuba yake jana kwenye TBC wakati anaongea na madaktari wa hapa nchini na wa kimataifa,kwa kweli inaonekana wazi kuwa anapwaya sana,swali langu kama kweli ana degree na wale madaktary wana degree kama yeye kwa nini akose confidence kabissa?mbona alikuwa na confidence wakati anaongea na wazee wa jiji la dar??
 
Hauhitaji kuwa na degree kujua kwamba JK ni Dk Dk Dk Dk Dk Kikwete!!! Hadi madent wa UDSM wakamzomea!!
 
Wasomi naomba msaada hapa
nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary,nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa ccm wa dar ilionekana kama ni msomi sana,lakini nimemfatilia tena kwenye hotuba yake jana kwenye TBC wakati anaongea na madaktari wa hapa nchini na wa kimataifa,kwa kweli inaonekana wazi kuwa anapwaya sana,swali langu kama kweli ana degree na wale madaktary wana degree kama yeye kwa nini akose confidence kabissa?mbona alikuwa na confidence wakati anaongea na wazee wa jiji la dar??

Kama hiyo degree ya uchumi ndo imetufikisha hapa napata shaka kama ataweza kusaidia sekta nyingine. Kwanza kwa upande wa uchumi huyu jamaa ni kilaza, haujui uchumi kabisa kwani hajawahi kuufanyia kazi kabisa, hana hata journal. juzi mgomo amekosa la kusema leo comfo la kuongea mbele ya madaktari alitoe wapi. Kuwa na PhD mchezo!
 
wakuu mimi sina degree nina tofauti yoyote na mtu mwenye degree?

For the time being is very difficult to create line of demarcation between educated people and uneducated people.Hii ni kwasababu ya kuingiza siasa kwenye taaluma za watu.Mimi sioni tofauti kati ya wasomi na wasio wasomi kwenye nchi yetu kwasasa.Wote wanafanya mambo kipuuzi tu.
 
Tatizo la JK anaongozwa na maruani/majini. Hao ndo wanampa way forward ya kuendesha nchi. Kibaya zaidi achanganyi na za kwake ingawa ukweli ni ndogo!
 
Kuku ni kuku tu,jogoo jina!!kama alienda chuo enzi zile za miaka ya sabini basi alikuwa kichwa kwelikweli!!
 
Degree anayo ila kichwa yake ina problems nyingine zinazozuia degree isifanye kazi huyu ni mtu wa ndumb mwanzo mwisho;ukishaamini ndumba tu mzee imekula kwako huwezi kufanikisha mambo ya kisayansi
 
Wasomi naomba msaada hapa
nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary,nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa ccm wa dar ilionekana kama ni msomi sana,lakini nimemfatilia tena kwenye hotuba yake jana kwenye TBC wakati anaongea na madaktari wa hapa nchini na wa kimataifa,kwa kweli inaonekana wazi kuwa anapwaya sana,swali langu kama kweli ana degree na wale madaktary wana degree kama yeye kwa nini akose confidence kabissa?mbona alikuwa na confidence wakati anaongea na wazee wa jiji la dar??

Digrii anazo sana. Ila ni za KUPEWA si za kusomea!
 
Ni Mwanaasha...kwahiyo baba ake anaitwa baba Mwanaasha...nadhani huyu angekuwa huku kata angetoka na zero
Asingemaliza kabisa, angeacha shule. Shule kasoma asimuaribie kazi mnikulu ila sidhani kama wale jamaa wana damu ya shule..
 
Wakuu msisahau ile mieleka ileeeeeeeee. Aisee.......... Basi mjue kichwa kikigongwa gongwa kuna madhara yake, ndiyo maana kuna mdau aliwahi kupendekeza kuwa mkulu awapo jukwaani avae helment.
 
Wasomi naomba msaada hapa
nimemfatilia sana Rais wa nchi hii na kugundua kuwa ni mtu ambaye hakumaliza masomo yake ya secondary,nimemfatilia kwenye hotuba aliyotoa wakati anaongea na wazee wa ccm wa dar ilionekana kama ni msomi sana,lakini nimemfatilia tena kwenye hotuba yake jana kwenye TBC wakati anaongea na madaktari wa hapa nchini na wa kimataifa,kwa kweli inaonekana wazi kuwa anapwaya sana,swali langu kama kweli ana degree na wale madaktary wana degree kama yeye kwa nini akose confidence kabissa?mbona alikuwa na confidence wakati anaongea na wazee wa jiji la dar??
Baba Mwanaasha ana digrii tatu-PhD, Ni Dr, au nakosea wakuu?
 
for the time being is very difficult to create line of demarcation between educated people and uneducated people.hii ni kwasababu ya kuingiza siasa kwenye taaluma za watu.mimi sioni tofauti kati ya wasomi na wasio wasomi kwenye nchi yetu kwasasa.wote wanafanya mambo kipuuzi tu.

ni ukweli ulio wazi - siasa imekuwa kila kitu!
 
Back
Top Bottom