Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

Ustaadh

JF-Expert Member
Oct 25, 2009
413
19
Kuna wakati aligonga sana vichwa vya habari na aliahidi kuweka mambo hadharani. Ni muda sasa hajasikika. Any updates?
 
njaaa ilikua inamsumbua....katulizwa na akaunt yake imejaaa naona
 
Unamzungumzia yule jamaa aliyengolewa meno kwa plier bila ganzi?
huyo hyo alikula kichapo cha nguvu waka mngoa meno yte na kcha ..... .hao hao wakampeleka nje kmtibu heheheh wakamrudisha wakamtiaaa mahela naona katuliaaaa....serikali kiboko usishindane naye kwikwimwi
 
Khaa! Kweli atarudi 2015 na kutupa full muvi mwanzo mwisho jinsi alivyotekwa na "usalama"

Una uhakika na ulichokiandika.? Au unataka kuvunja amani. Chunga sana bwana mdogo. Fanya mambo yako na mambo ya usalama wa Taifa waachie wenyewe. Ni ushauri tu.
 
acha kimbelembele wewe kwanini umuongelee mtu na mwenyewe yupo! Mbinu.za kina mbowe na slaa kumtumia kijinga kazistukia.

Ila kachelewa sana kushtuka.. too late!..wamamtumia na meno wamemng'oa binadam wabaya sana aisee.
 
Back
Top Bottom