Mama Kilango v/s Sophia Simba ndani ya uchaguzi wa UWT...

madamu ina maana kila siku we uko kwenye naniiiiii tuuu, mbona pumba kila siku. Kamuone dr sio kitu cha kawaida hicho, mi huwa najua maximum ni siku t*n*, we mbona umepitiliza?

Hii ni lugha ya maudhi! Si uungwana hata kidogo! Mods why do you allow this!
 
Haya afdhali na angalau zinaenda kushindana tutaona majibu ss yetu macho kam huyo mama wa kipare au huyo mzaramo ila wote vilaza na wanakunywa bia moja unataka kujua bia gani ha ha ha ha subiri nioge nakuja kukwambia........
 
Kidumu chama cha mapinduziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Idumu ya siasa ya ujamaa na kujitegemeaaaaaaaaa!mwenyekiti wa Uwt jk ndo anamjua atatoka kaskazini ili kusaidia mkakati wa kuzima uasi wa chama cha kichaga!!!
 
Hawa wote wawili ni mapashkuna ya mjini mapapa haswa hata kuimba taarabu za vijembe wanaziweza mwee.wacha wapambane ziumiazo ni nyika sisi tutasikia vishindo tu.I like this episode.
 
Si inasemekana wakiwezeshwa wanaweza ?????

Deduction; Possibility ya kuwa leader depends on nan anamuwezesha mgombea......hata kama wote hawawezi then resolution rests with wawezeshaji..........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
madamu ina maana kila siku we uko kwenye naniiiiii tuuu, mbona pumba kila siku. Kamuone dr sio kitu cha kawaida hicho, mi huwa najua maximum ni siku t*n*, we mbona umepitiliza?


Mhhhhhhhhhhhhhhhh wajameni, tuwaheshimu dada zetu na mama zetu! Heshima i wapi???
Kwani kunanihii ni kosa?? That's nature they have nothing to do against it. Bora uelewe braza, japo inawezekana kabisa aliyelengwa hapa siyo dada kama mwandishi anataka kuamini na kujiaminisha simply kwa kuangalia hiyo avatar.
Na kama unaweza kuwa na comments kama hizi, naweza kuelewa ni mtu wa namna gani wewe, kama umeoa mkeo analo, nampa pole! Na kama hujaoa, just forget about it!
 
Yaani hapo kwenye kuomba kura, itakuwa full mipasho, yaani wote hawa kama wangekuwa kwenye taarabu mbona Khadija kopa, Isha Mashauzi wasingeona ndani, Itabidi tumuombe Master J aandae biti kabisa.
 
UWT imekuwa ya mashangingi na manungayembe tu!? Wote wawili hakuna aliye afadhali. Mwenyekiti wa maana wa Jumuia hii alikuwa Mama Sophia Kawawa tu.
 
Tatizo ni mfumo uliopo - kubadili watu si dawa kama mfumo uko pale pale. Tusihadaike na kanzu mpya, shekhe ni yule yule!
 
wanaanza kuvaana kabla wakuwavaa hawajafika:-
mfano. Sofia v/s kilango
sita v/s naodha.
Manumba v/s mwakyembe.
Jk v/s el
mwakipesile v/s mwakyembe.
.
.
.
.
Ongeza wengne kama umeelewa !
\

Hapa brother au sister hujachangia anything intellectual au meaningful, unacheza tu na majina badala ya issues! Ama kweli level ya interactions ya JF imeshuka sana!
 
UWT imekuwa ya mashangingi na manungayembe tu!? Wote wawili hakuna aliye afadhali. Mwenyekiti wa maana wa Jumuia hii alikuwa Mama Sophia Kawawa tu.

Viongozi wazuri wa kufikirika na wakale, kazi yao haswa ni kutoa hamasa na kuonyesha uongozi mzuri unawezekana lakini kama sio kuongoza. Sasa kama hao unaodhani/tunaodhani wanafaa hawajaingia kwenye siasa ama wameshidwa kuibuka vinara inakuwaje! Walioweza kujitokeza na kugombea ndio viongozi wenyewe!
 
Itabidi sasa wabadili jina.UWT ni kama wanawake wote wa Tanzania bila kujali Vyama vyao vya siasa

Tena washike adabu zao, wauite jina CCM-WT. Wanazidi kutufanya wajinga viwanja vya mipira tulivichangia wote ni vyema virudi serikalini hata maendeleo ya huu umoja yakiwemo majengo yake yanatakiwa yarudishwe serikalini
 
Back
Top Bottom