Kero kunako 6 kwa 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kero kunako 6 kwa 6

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Myakubanga, Dec 23, 2011.

 1. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hivi kwa nini kunako 6 kwa 6 baadhi ya watu wanakera sana?
  Utakuta mtu ametoka na mtu wake,halafu wameingia kutiana mshawasha
  kwenye nyumba za kupanga uswahilini!
  Halafu unakuta mdada anapiga kelele utadhani anachinjwa,au mwanaume ananguruma kwa
  nguvu utadhani simba dume linamnanihii jike!
  Jamani,inafaa kukumbuka kwamba kwenye majumba kuna watoo,na kwa nyumba za kupanga
  uswahilini vyumba vimeumana!
  Ni busara kubalanca maraha bila kusumbua watu wengine
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Dec 23, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  hahahahahah
  pole sana inaelekea wamekukwazaaaaaa
  na usikute wamekesha na makelele yao ya mahaba...

  siku nyingine wakianza tu chukua sarafu ya mia mbili kagonge mlango wao wakifungua wasifungue waambie waache makelele
  hata kama ni saa tisa usiku kawagongeee
  hawatarudia tena loh...
   
 3. Ustaadh

  Ustaadh JF-Expert Member

  #3
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 25, 2009
  Messages: 413
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Wengine wanashindwa kuji-control....wengine ni makusudi....wengine ......wengine..... wengine....
   
 4. M

  Malova JF-Expert Member

  #4
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  ni kweli kabisa, unapokula raha hata kama upo kwenyechumba chako angalia usimkwaze mtu mwingine.
   
 5. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #5
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Jamani raha ina mwisho? Ukipata raha ujibane? ebo?
  Nani wa kumkwaza mwenzake anayejiachia kwa raha zake au anayepiga chabo ya sikio!
  Ngumu sana kwenda kwa mjumbe kumshitaki jamaa, maana wako ndani kwao....ingawa wanakosa ustaarabu.


  Wengine wakiingiziwa tu ni balaa.....
  Wengine wanawakoga jirani zao kwamba wao ni watamu sana, wapenzi wao wanazimia...
  Wengine wanataka majirani wajue wao ni mafundi...
  Mixture of everything.....
  At the end of the day ni kuhama tu uswahilini, hayo hayawezi kuisha!
   
 6. dazipozi

  dazipozi JF-Expert Member

  #6
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1,143
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ngoja nikanywe chai nakuja
   
 7. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #7
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Weeengine ni mizukaa...wengine ndo jini mahaba ndo keshapanda kichwaani tena hapo mpaka huo mzuka ushuke then ujue kaipata dawaa yake sawiiiia..... Wengine ndo wanataka kuwarusha roho mtaa wa saba..ahhahhaaa,inahuuuuu...
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Dec 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  DUUU SISEMI HAPA!:A S embarassed:
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Weweweweee kulia kuna raha yake wacheni walie tu we stim zikikupanda tafuta ngoma nawe ukacheze ila kwa hakika wengine ni ngumu kujizuia.
   
 10. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #10
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Ni kweli mkuu!Lakini ebu fikiri mtoto mdogo anaamka na kudhani kuna hatari chumba cha baba na mama,kisa...maloveee!!!!!
  TOFAUTI KUBWA YA HAYAWANI NA BINADAMU NI KWAMBA BINADAMU ANAO UWEZO WA KU-KONTROO HISIA ZAKE
   
 11. obsesd

  obsesd JF-Expert Member

  #11
  Dec 23, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 1,226
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  sooo true....................... waache uzembe huo bana.
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Dec 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  YAAH MKUU,NINACHOZUNGUMZIA HAPO NI USTAARABU!
  HUWEZI AMINI JANA KUNA MTOTO AMETOKA USIKU SAA SABA USIKU HIVI
  NA KUANZA KULIA MLANGONI MWA CHUMBA CHA WAZAZI WAKE HAPA MANZESE,AKIDHANI MAMA ANAKATA ROHO
  KUMBE Raha zimemzidi!!!!
   
Loading...