"Mtaalamu wa kuuza Duka la Madawa ya mifugo anahitajika haraka sana. Awe na sifa zifuatazo: Awe na Certificate ya Animal Health and production kutoka Chuo kinachotambulika PIGA SASA HIVI SIMU NA. 0764 601903"
Mwajili huyo anakutafuta, mpigie haraka sana. nae ameweka tangazo humu humu ndani
asante!, maana wananiboa sana. Wengi nawafumania wakiongelea mambo hayo hayo, utakuta jibu linazeeka alafu linasema nataka mwanamume atakae nioa awe na............ ngoja waisome namba, miaka hii waoaji ni wachache sana
"Mimi Ni Kijana Nilihitimu Mafunzo Ya Mifugo Ngazi Ya Cheti Mwaka 2013 ( Certificate In Animal Health And Production ) ... Ninatafuta Kazi Yoyote Ile Itakayoweza Kunipatia Fedha Angalau Ya Kukidhi Mahitaji Yangu ... Kwa Sasa Naishi Jijini Mwanza Namba Zangu Za Simu Ni 0766922108 au...
Siku hizi hakuna cha moja kwa moja. Waliacha huo mchezo, yaani tangia wizara ya kilimo ikabidhi mamlaka ya kuajili kwa PSRS imekuwa majanga ndugu yangu. Tafuta utapata job kwa private sector, lakini kwa serikali utapiga written interview nyingi kadri ya uchumi wako pia km huna bahati utaishia...
Kuna siku mkononi kwako kutakuwa na vitu viwili; MAVI na HELA, Alafu wewe kwa akili yako timamu utatupa HELA chini alafu utabakiwa na MAVI mkononi alafu utashangilia na kufurahia. Ila mda ukifika utastuka mikono inanuka alafu utagundua ulipotupia zile HELA hupakumbuki ila UNAKUMBUKA MAVI...
Siku zote siku za mwizi ni 40!. Kuna siku wataachia nchi kwa urahisi sana yaani itakuwa ni sawa na kumsukuma mlevi ktk shimo tena utashangaa milele daima. Panya mjanja hunasa kwenye tundu bovu!, we ngoja tuendeleee kuishi tu. Hujui kuwa wateja wa ccm wengi wao ni wazee? siku watakapokufa ndio...
Alafu mimi nampenda balaa. Huyu Mashauzi hata aharibu vipi mm nampenda tu, maana ninachokitaka huwa nakipata. Ananifurahisha na kuniburudisha mpaka raha. Kama ww amekukera pole sana "Si Bure Una Mapungufu wewe!"
We bakia huko huko ugogoni!, unataka uende pwani?. Otea jua la Dodoma mpaka uwe kama mkaa. Huko walahi hupati mtu labda awe mgogo wa huko huko. Endelea kubembeleza labda watakuonea huruma
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.