Ndani ya Mwezi kuna nini?

getrusa

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
2,150
1,821
Wakuu kila nikiutazama mwezi nikiwa duniani ninatamani kujua ndani yake kuna nini? Nikiwa huku duniani naona kama maumbo tofauti tofauti naomba kujuzwa.
 
jaribu kufanya utafiti kwenye Google mkuu, elimu nyingi sana inapatikana huko, siku hizi elimu imeletwa kiganjani mwako sio kama enzi zetu za kwenda maktaba kusoma encyclopedia
 
Wakuu kila nikiutazama mwezi nikiwa duniani ninatamani kujua ndani yake kuna nini? Nikiwa huku duniani naona kama maumbo tofauti tofauti naomba kujuzwa.

Utazame ukiwa haupo duniani utapata jibu, ukiwa duniani hutaweza kuelewa huo mwezi!
 
mwezi ni kama mpira utumikao kwenye mchezo wa kikapu upo wazi ndani, tofauti na dunia tunakaa nje wakazi wa mwezini wanakaa ndani humo wamejenga miundombinu yao.
marachache huwa wanatoka humo vyombo vyao huku tunaviita ufo na wenyewe alien.
mwezi wenyewe ni spacecraft sio natural object siku moja tunaweza kuamka asubuhi na kukuta umehamia sayari nyingine kwani hapo umewekwa na wajanja.
 
hahaaa uko vizuri mkuu...nmecheka aisee..wazee wa maujanja
 
Back
Top Bottom