Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 838
Kati ya malkia leyla rashidi wa jahazi modern taarabu na jokha kassim wa tanzania moto modern taarabu yupi wamkubali?
Leyla ni mashine nyingine kabisa!Kati ya malkia leyla rashidi wa jahazi modern taarabu na jokha kassim wa tanzania moto modern taarabu yupi wamkubali?
Hiyo nyimbo ninayo ni hivijishebedue mke mwenzio akujue..hatari sana jokha