Kuna siku mkononi kwako kutakuwa na vitu viwili; MAVI na HELA, Alafu wewe kwa akili yako timamu utatupa HELA chini alafu utabakiwa na MAVI mkononi alafu utashangilia na kufurahia. Ila mda ukifika utastuka mikono inanuka alafu utagundua ulipotupia zile HELA hupakumbuki ila UNAKUMBUKA MAVI uliyoyashika. we cheza tu!, mtese mwenzio nawe mateso yaja nyuma yako. Unajifanya uko under 25!