Isha mashauz anaharibu muziki wa taarabu

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Huyu mdada kiukweli amekuwa conflict ndani na nje ya taarab kwa twabia yake mbaya ya kuimba rumba na kudai ni taarab
 
Alafu mimi nampenda balaa. Huyu Mashauzi hata aharibu vipi mm nampenda tu, maana ninachokitaka huwa nakipata. Ananifurahisha na kuniburudisha mpaka raha. Kama ww amekukera pole sana "Si Bure Una Mapungufu wewe!"
 
Isha wa mwaka jana siye wa miaka hii siku sijui tatzo nin anaimba vituko vitupu
 
Sasa iliishaisha twaarab ikaja mipasho mara rusharoho unadhani pana kitu tena hapo?
 
kwani siku hizi kuna taarabu? Mimi naona bendi zilizomalizia muziki wa taarab ni Zanzibar stars na east African melody kipindi hicho wapo kina zuhura Shabani,jokha kasimu,zena mohamedi,mariamu khamisi(r.i.p) mwanahawa ally na wengine wengi.ila siku hizi ni vumbi tupu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom