Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,671
- 149,843
Kama Magufuli ameweza kuibua haya yote tena ndani ya muda mfupi,itakuwaje siku wapinzani wakichukua nchi hii?Yataibuka mangapi?Tutakuwa shocked kiasi gani?Tutalaumiani kiasi gani kwa kuchelewesha mabadiliko?
Waswahili wana msemo:"zimwi likujualo halikuli ukakwisha." Halikadhalika, Magufuli hawezi kuimbua CCM kama ambavyo watafanya wapinzani siku wakikamata dola.
Amini nawaambieni,siku hiyo yaja ingawa sijui ni lini lakini ipo.Duniani hakuna kinachodumu milele ni swala la muda tu.Hii ni kanunu ya maisha ambayo haina exception.
Kuna watu wanaweza kuja kupandishwa kizimbani wakiwa na umri wa miaka 70, 80 na wengine hata wakiwa na umri wa miaka 90 maana "jinai" haifi.