Lijue serikali/baraza la mawaziri

Lijue serikali/baraza la mawaziri

Uzuri kila wizara ina relevant top academically
 
Dr. John Pombe Joseph Magufuli - PhD(Chem&Maths)

hii ya magufuli ulikuwa unamaanisha nini? unamaanisha ana PhD chem&maths. siamini kama unaelewa hata unachokiandika.
Nimeamua kuidadavua serikali na Baraza la Dr.Magufuli:
Kwa Kifupi idadi ya
Mawaziri na Naibu waziri ni 34, Kati ya hao:

Prof - 4
PhDs - 7
Masters - 20
1st Degree - 1
Diploma + - 2

Pata undani wa elimu za baraza:

Rais:

Dr. John Pombe Joseph Magufuli - PhD(Chem&Maths)

Makamu wa Rais:

Samia Suluhu - Msc (Comm. EC. Dev.)

Waziri Mkuu:

Kassim Majaliwa Majaliwa - (B.A.Ed)


BARAZA LA MAWAZIRI LA JPM:

Professors (Maprofesa):

1. Prof. Jumanne Maghembe
2. Prof. Joyce Ndalichako
3. Prof. Makame Mbalawa
4. Prof. Sospeter Muhongo

PhDs (Shahada za Uzamivu - Madaktari wa Kusomea)

1. Dr. Medard Kalemani
2. Dr. Augustine Mahiga
3. Dr. Ashantu Kijaji
4. Dr. Phillipo Mpango
5. Dr. Harisson Makyembe
6. Dr. Abdallah Posi
7. Dr. Suzan Kolimba

Doctors/Msc (Madaktari wa Binadamu) - wana shahada za Uzamili ktk Sayansi

1. Dr. Hussein Mwinyi
2. Dr. Hamis Kigwangala

Engineers/Msc Engineering (Shahada za Uzamili ktk Uhandisi)

1. Eng. Gerson Lwenge
2. Eng. Ramo Makani
3. Eng. Hamad Masaun
4. Eng. Isaack Kamwele
5. Eng. Stella Manyanya
6. Eng. Edwin Ngonayni

Master of Science/Msc (Shahada za Uzamili ktk Sayansi)

1. Charles Kitwanga
2. January Makamba
3. Anastazia Wambula

Master of Laws/LLM (Shahada za Uzamili ktk Sheria)

1. Ummy Mwalimu
2. Antony Mavunde
3. William Tate Ole Nasha
4. Angella Kairuki

Master of Arts/MA (Shahada za Uzamili ktk Sayansi ya Jamii)

1. Mwigulu Nchemba
2. Jaffo Seleman
3. Angelina Mabula
4. Charles Mwijage
5. Nape Nnauye

Bachelor of Law/LLB ( Shahada ya Kwanza ya Sheria)
1. George Simbachawene

Stashahada za Ualimu/Wanaendelea na Masomo ya Uzamili
1. William Lukuvi
2. Jenista Muhagama
 
tunashukuru kutujuza ila kwa kutuaminisha baadhi zisije kuwa shahada za kwenye laptopu
 
Hivi JOYCE NDALYCHAKO Ni Professor!!?? Maana Nilikuwa Nasikia Ni Dkt!!! ALAFU Hao Wanaoendelea Na Kusoma!! Mbona Muda Unazidi Kuwatupa Mkono!!! Kumbe Kuna Mawaziri Viwango Vyao Kitaaluma Ni Vya Kawaida, Ndio Maana Wanakwaruzana Na WATENDAJI Wa Wizara Husika!!! Lile Suala La MAWAZIRI Wawe WAAJIRIWA!!

attachment.php
 

Attachments

  • image.jpeg
    image.jpeg
    107.2 KB · Views: 399
Back
Top Bottom