7) nyang'anya ardhi yote(zote) zinazomilikiwa na wakenya.... Maana washaona Tz ndo nchi yao kimbilio lá kuja kuwekeza ktk ardhi, sasa fukuza wakagombanie mashamba yao ya kisettler.
Vietnam Ni base ya marekani miaka nenda miaka rudi baada ya ile Vita yao kuisha, Bila kusahau Japan na South Korea Ni km Vietnam Yani zote hizi Ni base kuu za mmarekani huko Asia
Sijaona mkiwazungumzia wangoni, wafipa, wabena, wanyasa, wakinga, wanyambo, wamakonde, n. K.... Salt tusaidie sifa za Haya makabila, ila ukioa mmsai wa kike Mmmmhh
Sio kila sababu hapo Juu Ni ya tecno smartphone pekee yake... LA hasha, kuna vitu Vingine vinasababishwa na wewe mtumiaji binafsi, na mengine yanasababishwa na apps mnazozidownload Bila kuzijua Kwa kina zaidi...tumia simu yako vzr na kila kitu kitakuwa vile unavotaka
Zipo nyingi, 1)Listen to your heart 2) marriage counsellor by Tyler Perry n. K....... Ukiangalia hizi movie Lazima utoe chozi... Japo all time movie ya kusisimua ni Titanic
Unajua Sio kila kifaa cha mchina Ni kibovu au kinalow quality, na pia, lazima tutambue hata hizi Simu tunazozisifia ka uimara, nazo kuna baadhi ya vifaa vinatengenezwa China wanavicombine ndo tunaiona bidhaa kamili Mf iPhone ni marekani lkn si kila kifaa kilichofungwa kimetoka marekani pekee n...
Zipo, tafuta Simu zenye battery lion capacity hizi 3500 - 4000 - 4500 utauona utafouti... Japo battery nyingi zaidi smartphone huimili charge kutokana na jinsi unavyotumia mf: huwezi kukaa online muda wote Kwa kushinda ktk YouTube, instagram video viewing, games ukategemea Simu itakaa na charge...
That's world of beast, we in the world of beast... Everything they design, they design accordingly to customers need n context.Sisi baadhi ya Wateja Tunoana km wanaharibu la hasha, kumbe Kwa utafiti wao washaona mapigo hayo ndo yanasoko zaidi duniani... Hawa jamii wanaakili hawakurupuki.....
Adui mkubwa wa binadamu ni binadamu mwenyewe..... Kila kitu kinachotengenezwa kinatengenezwa Kwa mlengwa wa kibinadaamu. Na hata Kwa mfano ukatumia hiyo risasi Kwa mnyama Basi lazima ufuatiliwe na hata kufunguliwa kesi Kwa kutumia kinyume cha matakwa ya risasi hizo..... Ni hatari sana
Nani asiyependa kufanya kazi ktk mazingira mazuri?? [emoji55]Hlf mtu unakuja kuuliza Nani aliyekarabati? Nani aliyepaoendezesha?? Sasa hizi Ni chuki binafsi... Kitu cha kutambua kuwa hela zote za marekebisho ya utendaji kazi kimkoa zinatoka mkoani hapo hapo... Akili na mbinu (creativity) ndo...
Kwanza unatakiwa "KUJIAMINI"(confidence), km unaweza kuongeza hilo kundi, "UKWELI"(honesty) penda kutoa Mada/hoja za ukweli baina ya watu wanaokuzunguka, penda kufanya kazi Kwa ushirikiano Bila kujali huyu ni nani na yule ni nani "team working", penda kutoa usaidizi wa kazi(delegation) palé...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.