Ubora na bei za tecno smartphones

Ubora na bei za tecno smartphones

Zipo, tafuta Simu zenye battery lion capacity hizi 3500 - 4000 - 4500 utauona utafouti... Japo battery nyingi zaidi smartphone huimili charge kutokana na jinsi unavyotumia mf: huwezi kukaa online muda wote Kwa kushinda ktk YouTube, instagram video viewing, games ukategemea Simu itakaa na charge muda wote... Hivyo Basi mtumiaji wa smartphone ambaye amewasha data muda wote Kwa ajili kupata notifications tu km, whatsapp, FB, na Kwa mawasiliano ya kawaida tu Basi huyu anaweza kukaa siku Nzima na bado battery ikasoma 50% ....na maisha yakaendelea...
L9plus ina capacity ya 5000 ipo pouwa sana
 
steveachi

Wewe ongelea tecno ambayo inayoongelewa kwenye ma blog tuu.. HUAWEI ni mambo mengine. Si kweli simu za kichina ni feki... Hata tecno sio feki.. Ila inatengenezwa na material za low quality. Ukisikia mtu unaweza kupata cancer ya ubongo kwa ajili ta kuongea na simu sana basi hapo tunaongelea simu aina ya tecno na zengine zote zenye low quality hardware.

Halafu kuna jamaa alikuja hapa akasema nyie mnaonunua tecno mnapigwa sana maana kwa low quality phone kama hiyo mlitakiwa TECNO phantom muinunue kwa laki mbili za kibongo. Sio laki 4. Huko china hata watumiaji wa tecno hawapo.. Wapo africa tu. Kule kuna masimu ya kufa mtu.. Xiaomi n.k bei chee!
Unajua Sio kila kifaa cha mchina Ni kibovu au kinalow quality, na pia, lazima tutambue hata hizi Simu tunazozisifia ka uimara, nazo kuna baadhi ya vifaa vinatengenezwa China wanavicombine ndo tunaiona bidhaa kamili Mf iPhone ni marekani lkn si kila kifaa kilichofungwa kimetoka marekani pekee n. K, hivyo Basi, inawezekana tecno ikawa haipo China, lkn uingereza ikawepo, ni Sawa na bidhaa zingine km nguo, Viatu, laptops, n.k cha muhimu ni kukubalika Kwa bidhaa Kwa sehemu husika, tecno ni kampuni inayotengeneza soko ktk maeneo mengine ambayo yanajua makampuni mengine hayajaweza kufika kirahis n.k Ila Sio km ndo kutengeneza bidhaa za low quality, Mf: mwingine kama kampuni Halotel ilivyoingia nchini, Watu wakaponda mwisho wa siku ndo inayorun ktk good performance ya net... N. B: kuna makampuni mengi ya Simu duniani, na kila kampuni inasifa tofauti kutoka Kwa mwenzake.....hapa nazungumzia makampuni makubwa tu, iPhone vs Samsung Vs blackberry vs Sony vs Nokia vs HTC vs Huawei vs tecno vs n.k...
 
Back
Top Bottom