Jamani hajapiga marufuku. Ametoa ushauri tu..
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro amepiga marufuku boda boda kufanya kazi baada ya saa 6 usiku kutokana na sababu za kiusalama
[emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112] [emoji112]Sirro anapogeuka mwanasiasa
[emoji115]Mwenye CV ya bw. Siro please
Kamanda wa polisi mkoa wa Dar Simon Sirro amepiga marufuku boda boda kufanya kazi baada ya saa 6 usiku kutokana na sababu za kiusalama
Anakwepa majukumu yake, maana kazi lake ni kulinda raia na Mali zao...sasa anajipunguzia kazi!!!Wenzetu huko dunia ya kwanza pamoja na maendeleo yoote.., Wanafanya kazi mchana na usiku.
Hapa TANZANIA Bw.Sirro anakataza watu kufanya kazi kwa sababu za kiusalama.
[HASHTAG]#TANZANIA[/HASHTAG]yaVi-wonder