Recent content by SUKAH

  1. SUKAH

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya michango tunayokumbana nayo Wazazi wa Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Mbagala Kuu

    2000 inakutoa roho. Hiyo mitihani wamefanya au hawajafanya? Huwa unahudhuria vikao vya wazazi shuleni? Walimu wamejiongeza ili kumpatia mwanao ufaulu bora ziadi kwa kumuandalia mazoezi/mitihani mingi na ya mara kwa mara, as practice makes perfect.
  2. SUKAH

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Na vipi upande wa TARURA, kupo vizuri kwenye mshahara na marupurupu au hohe hahee?
  3. SUKAH

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Inasumbua from Alhamisi au Ijumaa hivi. Tumetoka bila bila hadi leo.
  4. SUKAH

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Ngoja niusake niangalie kama ntakutana na vitu vyangu. Hata kama muda umepita ila ntapata somo.
  5. SUKAH

    JamiiForums Tanzania HOJA Wataalamu wa kipengele cha uhamisho ndani ya ESS naombeni msaada mnivushe hapa

    Mimi ni mwendo wa VACANCY NOT BUDJETED kila taasisi ntakayonusa. Mwaka wa 3 huu sasa. Sina mood ya kazi kabisa huku nilipo.
  6. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu course hizi za Diploma

    Kuwa flexible kijana, chukua muda ufanye utafiti mdogo tu then kasome uhasibu.
  7. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Old is Gold: Good music never dies

    Inanikumbusha mbali pia, nimetoka zangu nyumbani kijijini tukiwa tunasikiliza nyimbo za Kikongo, Lucian, Alain KounkIu kwa sana then naingia mjini kwenye makazi mapya nakutana na taste mpya ya muziki, kutoka Radio One Stereo, Return of the Mack, Kiss from a rose, California love, rock yo body...
  8. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Dirisha la maombi (appliction) ATC limefunguliwa au bado?

    Umesoma na kumalisa shule gani ili tukupe msaada zaidi?
  9. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Feedback: Kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe

    Tunaomba weka tag kwenye huo uzi wako wa mwaka jana.
  10. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Masange kuna watoto wazuri, wazuri haswaaa. Natamani nirudi tena. Kwa sisi tuliopata kuishi vijijini wakati fulani, basi pale Masange hakuna changamoto ya kututisha.
  11. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Dirisha la maombi (appliction) ATC limefunguliwa au bado?

    Hii changamoto ya kuchanganya herufi R na L inazidi kukua kila uchao. Tunajificha kwenye kichaka cha "kikubwa si umeelewa"
  12. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

    Treach
  13. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Barabara za zege zinadumu na gharama nafuu kuliko za lami kwanini nchi nyingi za Africa wanapendelea lami?

    Lami huaribika haraka kuliko za zege, kwa standard ya barabara inayofanana, za zege ni ghali kuliko za lami. Lakini pia lami inatoa smooth drive kuliko zege😀😀
  14. SUKAH

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbegu za matango pori

    Aah nimeyala sana utotoni huko usandaweni.
Back
Top Bottom