View: https://youtu.be/uB1D9wWxd2w?list=RDuB1D9wWxd2w&t=12
THE timeless anthem; Mark Morrison’s 1996 R&B anthem is the ultimate comeback track and an undeniable classic that simply refuses to fade away.
Inanikumbusha mbali pia, nimetoka zangu nyumbani kijijini tukiwa tunasikiliza nyimbo za Kikongo, Lucian, Alain KounkIu kwa sana then naingia mjini kwenye makazi mapya nakutana na taste mpya ya muziki, kutoka Radio One Stereo, Return of the Mack, Kiss from a rose, California love, rock yo body, TLC, SWV, and so many more.Inanikumbusha mbali sana
Mkuu acha tu, hizi ngoma nzuri balaa. Waliokuwepo miaka ya 70, 80, 90 walipata mziki mzuri sana.Hii uzi ina 15yrs old ni ya sisi wazee