SILLENT KILLER 2
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 828
- 1,564
Salam wakuu.kama heading inavosomeka hapo.
Mwaka jana nilileta uzi wangu kuhusu biashara ya mbuzi na ng'ombe na nikaweka na no zangu.
Basi kuna siku nikawa nimetulia tu mara kuna memba akanitafuta.akaniambia anataka mbuzi wa kufuga,yeye anaishi Dar.
Nikamwambia ajipange siku akiwa tayar atanicheki.
Akanipigiaga mwingine tena akasema nataka kondoo wa kufuga, nikasema wapo wanapatikana tu hela yako nae akasema anaish Dar.
Watatu na wanne wote walinipiaga wakasema watanicheki lakini wapi.
Basi bhana nikatulia kama miezi miwili ndo akanicheki jamaa mmoja kutoka dodoma.
Akasema anataka mbuzi kama 40 au 50 nikasema wanapatikana kwa bei chee
Nafiri huyu ndugu yangu akasema anakuja kutoka dom kuja kunitembelea ili ajifunze kuhusu ufugaji.
Jamaa akaja wiki iliopita tukaongea mengi sana.
Tu cut the story akanambia atakuja tena ili aje na pesa.
Nilichojifunza kwenye biashara unatakiwa uwe na moyo mgumu sana
Ila namshuku MUNGU angalau nayaona matokeo nimeanza kufanya delivery miji ya karibu kama gairo,kibaigwa,