Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,774
- 22,091
Watangazaji walioanza nao wakiwemo Faudhiat Abood, Suzan Mongi (akiitwa Suzan Lukindo wakati huo), Charles Hilal, Julius Nyaisanga (R.I.P), Mickadad Mahmoud, Anorld Lazaro, Oscar Sonje, Bujaga Izengo Kadago, Aunt Tumaini (Kipindi Cha Watoto Wetu), Asma Basafah (kipindi Cha Afya ya Jamii Kila j3 saa Moja jioni), Belinda Mringo (Kipindi Cha ANA Kwa ANA), Joyce Mhavile (jarida la wanawake), Othman Njaidi. Baadae wakaja akina Asha Mtwangi, Laura George, Hadija Zangira (R I.P).Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV
Asante sana mdau. Vipindi vya muziki vya ITV mwaka 1994-1996Nakumbuka kipindi cha RAP EM kila jumanne saa kumi na nusu hadi kumi na moja jioni.
Kilinifanya nikapenda hip hop sana.
Akina Lux Ruger, Chris's Jericho, Chriss Benoit, Danny Malenko, Kundi la New World Order (NWO) akina Konan, Scott Lee, etc. Giant, Booker T etc.John Cena wa Juzi... Mieleka enzi hizo Tunawacheki wakina Hulk HOgani ndio wababe wa Mieleka wa wakati huo
Kaole Sanaa Group walishika nchi... Kina Kibakuli....
Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
Hizi tamdhilia zikivuta hisia za wengi zilikuwabna mvuto wa kipekee naamini Hata Leo zikionyeshwa zifatunika tamdhilia zote za azamNimekumbuka the bold and the beautiful hiyo miaka ya 90, kulikuwa na tamthlia ya sunset beach, mara acapulco bay.
Mwendo wa kugeuza antena hapo, inaonyesha, geuza huko huko, aaaaah umeharibu rudisha upande wa mwanzo bado.
Pia sitosahau RFA walipozindua masafa ya FM nilikuwa bado mdogo sana nakumbuka bro wangu anaongea na rafiki yake kuhusu RFA na FM sikujua hata ni kitu gani ila kuanzia siku hiyo nikawa nasikia redio inazungumza vizuri.
Rap Em, nilijitahidi nisikikose hiki kipindi japo nkikuwa kinda sana wakati huo.Asante sana mdau. Vipindi vya muziki vya ITV mwaka 1994-1996
J3 MUZIKI KASS KASS (muziki ya Congo)
J4 RAP EM
J5 R&B
ALH Jam Derick
IJUMAA: MUZIKI MUZIKI
JMOSI: JILIWAZE
Though ulikuwa kinda uli-enjoy sana wakati huo. Nadhani that was a golden momentRap Em, nilijitahidi nisikikose hiki kipindi japo nkikuwa kinda sana wakati huo.
Watangazaji walioanza nao wakiwemo Faudhiat Abood, Suzan Mongi (akiitwa Suzan Lukindo wakati huo), Charles Hilal, Julius Nyaisanga (R.I.P), Mickadad Mahmoud, Anorld Lazaro, Oscar Sonje, Bujaga Izengo Kadago, Aunt Tumaini (Kipindi Cha Watoto Wetu), Asma Basafah (kipindi Cha Afya ya Jamii Kila j3 saa Moja jioni), Belinda Mringo (Kipindi Cha ANA Kwa ANA), Joyce Mhavile (jarida la wanawake), Othman Njaidi. Baadae wakaja akina Asha Mtwangi, Laura George, Hadija Zangira (R I.P).
Msimu wangu wa kwanza kuona WORLD CUP 1994 kupitia ITV ikifanyika USA.
Akina Lux Ruger, Chris's Jericho, Chriss Benoit, Danny Malenko, Kundi la New World Order (NWO) akina Konan, Scott Lee, etc. Giant, Booker T etc.
Aisee unatisha sana una kumbukumbu zaidi ya computer MkuuAsante sana mdau. Vipindi vya muziki vya ITV mwaka 1994-1996
J3 MUZIKI KASS KASS (muziki ya Congo)
J4 RAP EM
J5 R&B
ALH Jam Derick
IJUMAA: MUZIKI MUZIKI
JMOSI: JILIWAZE
Ni Kwa sababu mwaka huo 1994 wazazi ndio wamenunua TV nyumbaniAisee unatisha sana una kumbukumbu zaidi ya computer Mkuu
Na sasahivi wewe ni Mzazi na umewanunulia wanao pia TV.safi sanaNi Kwa sababu mwaka huo 1994 wazazi ndio wamenunua TV nyumbani
Ni kweli. Asante sana.Na sasahivi wewe ni Mzazi na umewanunulia wanao pia TV.safi sana
Kina merry mgaweMiaka hiyo itv walikuwa wana watangazaji visura hasa, japo kwa sasa hao watangazaji wa kike wamezeeka.
Hapo unakutana na mrembo BarbalitaNa nimeikumbuka La mujer di mi vida
Naam,hakikaHapo unakutana na mrembo Barbalita
IPP imeporomoka sana, jamaa wanagonga hdi miezi 2 hawajalipwa mishahara wanalipwa dusko duskoNaam,hakika
EGOLI ilianza kurushwa na ITV Julai 1997Mnakumbuka Egoli
Nimeangalia sana Mapambano ya Tyson tunaamka saa 10 alfajiri kwenda kuangalia kama 4km hivi kulikuwa na kama Bar hivi ,Tyson anamng'ata Evander Holyfield.Kampuni ya IPP Limited mwaka 1994 inatambulisha chaneli ya Analog kwa jina ITV kupitia masafa ya mawimbi ya kawaida kipindi hiko.
Na kipindi hiko ndio mtaa mzima tumenunua TV ya PANASONIC TX iliyotoka 1993 sikumbuki model ikiwa ya rangi.
Kipindi hiko Tv inafunguliwa saa 8 au 10 sikumbuki ila inafungwa saa sita usiku.
Ndipo nilipo jua series kama:
*Family Matters
*Perfect Strangers
*fresh prince of bel air
*The V
Na matangazo kama :
*Revlon
*cocal cola
Kipindi hiko unaamka usiku kushuhudia ngumi za Mike Tyson.
Ila kuna dada mmoja ni kama mwarabu au muhindi fulani alikuwa ndo mtu wa kwanza ITV wanafungua ndo anaonekana sana. Hivi yupo wapi miaka 30 sasa.
Wenye kuijua ITV vizuri
[mention]pasco mayala [/mention] ni moja ya watu wenye kuijua ITV