rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,008
- 25,622
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza anayejua zibapopatikana aniambie.
Matango pori ndio yapi hayo? Weka picha
Nayahitaji sana nitayapatajeSingida yapo tele yamejaa huko mashambani mwezi uliopita nilikuwa huko kwenye kununua mazao
Tafuta tu mtu wa singida huko akusaidie kukusanya hayo matangoNayahitaji sana nitayapataje
Ok sawaTafuta tu mtu wa singida huko akusaidie kukusanya hayo matango
Bado sijapatarodrick alexander vipi ulipata hizo mbegu
Ngoja nitafute watu wa DodomaDodoma Hapo Tele Yanapenda Ukame
Uelekeo Wa Jeshini, MpungiziNgoja nitafute watu wa Dodoma
Bado sijapata nipo DarNinazo mkuu. Uwapi au ulishapata tena ninazo aina2
Unataka kiasi Gani?Bado sijapata nipo Dar