Recent content by sisi agent

  1. S

    nimechanganyikiwa ..naombeni ushauri wa ukweli wana JF

    Nashauri kuanzia sasa kwenye katiba mpya iseme wazi kuwa mtu akiwa anataka kuoa basi lazima apimwe akili kwanza kisha ndio akili ili kujua hili maana sisi wenye akili tumetulia
  2. S

    Vurugu za Uamsho zanzibar CCM kutoa msimamo wake tarehe 09/06/12 saa sita mchana

    Mungu mpe busara nape maana jana amesema haina haja kwa wazanzibar kihoji juu ya muungano kwani asili yake ni nyerere na karume je leo tutoe nchi kwa mtu aliyekufa nape usije ukammkanyanganyoka mkiani utapotea sisi tuna mungu wewe una nini mwenzetu.
  3. S

    Nisaidieni kumchagulia jina mwanangu

    Majina matatu nadhani utapata moja ,panya,bimboga,au kiembe kama mwanamke na kama mwanaume ni kake,fundi au kooo mbooooo
  4. S

    CUF sasa yameguka rasmi Pemba

    Mpemba mbishi hivi kusema uwongo huoni aibu maana hapa muda huu ni vurugu tu mlingoti umeshangolewa rasmi muda huu na bendera imeshachanwa huoni aibu kusema upo wawi hapa barabarani kwa heri na muda huu ni kuelekea maeneo mengine
  5. S

    CUF sasa yameguka rasmi Pemba

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida tawi la wawi babarani muda huu viongozi wa wilaya ya chake chake wametolewa katika kikao hicho kwa matusi na kuambiwa sasa ni kambi ya ADC
  6. S

    JK alikiidangaya kikao cha CC ili kumuokoa Siyoi kwa lengo la kumlinda na tuhuma za rushwa

    Ccm itayumba usukani itazidi songa mbele na dereva nitakuwa mimi ahhhhhh
  7. S

    vuguvugu la vijana wa CUF (BVC/VVC) lajadili Muungano serikali tatu

    Kwani hao cuf wasidai tatu tu pemba yetu ,ungujayao, na bara yao maana sisi huku pemba madui zetu wakubwa ni watu wa unguja siku zote iwe ccm na cuf wote hawatupendi kabisa ,na kumbuka sisi bora tanga karibu kuliko unguja hivyo pemba tuwe na serikali yetu karafuuu zetu zisiwatoe roho bure .
  8. S

    Live:Taifa stars vs DRC Taifa

    Ngapi ngapi bosi
  9. S

    Gari aina ya Noah inahitajika

    Nipigie kwenye 0715177960 ipo imetembea km 56000 tu ya mwaka 2002.
  10. S

    Jusa aiua Cuf Uzini kwa Ushirika wake na Raza

    Mwambie jusa kwanza aoe kisha ndio aje kuongea kwenye watu.
  11. S

    Kauli za Jussa juu ya uchaguzi wa Uzini ni hatari kwa umoja wa kitaifa!

    Jamani tarifa sahihi ni kuwa jusa amedanganya,ukweli ni kuwa raza ni rais wa jamatini ambako walikubaliana jamatini sehemu ya ibada ya washia walikubaliana kuwa lazima rais wa jamatini ashinde ili nao waungane ,moja mbili jusa naibu katibu mkuu amesaliti a cuf kwa maslahi ya tasisi ya dini...
  12. S

    Kauli za Jussa juu ya uchaguzi wa Uzini ni hatari kwa umoja wa kitaifa!

    Jamani tarifa sahihi ni kuwa jusa amedanganya,ukweli ni kuwa raza ni rais wa jamatini ambako walikubaliana jamatini sehemu ya ibada ya washia walikubaliana kuwa lazima rais wa jamatini ashinde ili nao waungane ,moja mbili jusa naibu katibu mkuu amesaliti a cuf kwa maslahi ya tasisi ya dini...
  13. S

    mwenyekiti wa vijana wa ccm ambaye alichakachua umri amekuwaje mbunge

    Nyie watu gani hasa chuki gani hizo masauni sio mbunge ni rais ajae wa zanzibar.
  14. S

    Jambo Leo lanunuliwa na Rostam, lahamishiwa New Habari

    Safi sana anauwezo wa kufikiri kuliko wewe
  15. S

    Hamad rashid hafukuziki wakubali awe mwana chama safi

    Lakini suwi jiulize je hamadi kosa lake nini maana naona ushabiki tu
Back
Top Bottom