Nisaidieni kumchagulia jina mwanangu

Nisaidieni kumchagulia jina mwanangu

Ukitaka awe na akili hata kama amelewa mwite Asprin
Ukitaka awe mbakaji lakini asikamatwe mwite klorokwini
Ukitaka apate mimba akiwa darasa la sita mwite nasmile
Ukitaka awe kibaka mwite dijei
Ukitaka awe mwanasiasa mwite Rejao:violin:
 
Majina matatu nadhani utapata moja ,panya,bimboga,au kiembe kama mwanamke na kama mwanaume ni kake,fundi au kooo mbooooo
 
Muite migomo au Wazee wa dirisalama.
 
Ukitaka awe na akili hata kama amelewa mwite Asprin
Ukitaka awe mbakaji lakini asikamatwe mwite klorokwini
Ukitaka apate mimba akiwa darasa la sita mwite nasmile
Ukitaka awe kibaka mwite dijei
Ukitaka awe mwanasiasa mwite Rejao:violin:
Kwa nini asiitwe Mwali jamani?
Kama ni wa Kike mwite Mwali, Shamsa au Malaika.
Kama ni wakiume mwite Karim au Majid. 🙂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom