K king86c Senior Member Feb 4, 2012 127 42 Feb 6, 2012 #1 aliyekuwa mwenyekiti wa vijana ccm taifa na sasa hivi ni mbunge ambaye ana kashfa ya kuugushi umri wake mbona ajivui gamba
aliyekuwa mwenyekiti wa vijana ccm taifa na sasa hivi ni mbunge ambaye ana kashfa ya kuugushi umri wake mbona ajivui gamba
F Farouk Tindo New Member Feb 6, 2012 1 0 Feb 6, 2012 #2 Lakushangaza amekua mbunge we2 wa jimbo la kikwajuni zenj.
Chatumkali JF-Expert Member Sep 9, 2011 2,037 458 Feb 6, 2012 #3 Kifupi jamii ni fisadi wa umri.Ila kwa kuwa mkuu ailmuahidi atapatiwa kazi nyingine labda ndio huo ubunge wenyewe.
Kifupi jamii ni fisadi wa umri.Ila kwa kuwa mkuu ailmuahidi atapatiwa kazi nyingine labda ndio huo ubunge wenyewe.
Kimbunga Platinum Member Oct 4, 2007 14,941 9,947 Feb 6, 2012 #4 Farouk Tindo said: Lakushangaza amekua mbunge we2 wa jimbo la kikwajuni zenj. Click to expand... Huyo Masauni si mlimchagua wenyewe?
Farouk Tindo said: Lakushangaza amekua mbunge we2 wa jimbo la kikwajuni zenj. Click to expand... Huyo Masauni si mlimchagua wenyewe?
S sisi agent Member Nov 19, 2011 30 16 Feb 6, 2012 #5 Nyie watu gani hasa chuki gani hizo masauni sio mbunge ni rais ajae wa zanzibar.