Gari aina ya Noah inahitajika

hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil

duh, mkuu utaua bendi, budget yako ipo nusu ya market price au unataka zile zilizoshapigika kule Karatu na Ngara
 
hata mimi natufuta noah ila offer yangu ni 5.8 mil cash pia natafuta Subaru nina 6.5 mil

Hiyo Noah unayotafuta hakuna mkuu 5.8! labda kwa vunja vunja utapata. Au unatafuta msamiati? Huku kwetu noah zianitwa kiti moto mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom