nimechanganyikiwa ..naombeni ushauri wa ukweli wana JF

Jamani naombeni kuwaulizeni wanaume hivi huwa mnaoa ili nini?
Labda -upate mtu wa kusex nae siku yoyote ukitaka?
-au upate watoto?
-au kuridhisha tu jamii na wewe ulioa au
- Ulipata mwanamkeakakulazimisha umuo
- ama ni nini?
maana kiukwelipersonaly kila mtu ananipigia kelele niolewe lakini kiukweli sijui maana ya ndoa,wala nikiwauliza watu maana yake hawanipi majibu ya kuniridhisha…hata nikisemanijifunze kwa vitendo kwa kuangalia ndoa zenyewe ndo nabaki hoi kabisa…

Yes… siwezi kusema maisha yangu yapo full satisfied …naitajihappiness but sijui kama ndoa ndo itakuwa jibu au solution ya kunipa furahamaishani.....
Ngojeni niwape mifano..but msinielewe vibaya..one daynilikuwa natafuta nyumba ..nikapata nyumba moja huyo kijana alikuwa anatakakuhama ..akanitongoza lakini wiki mbili mbele ndo alikuwa anafunga ndoa ..kwelinilishangaa sana hadi sasa ananitakajust imagine ndoa changaaa eti anadai hakuniona mapema mimi wala sina uzuriwowote basi tu uzinzi wake ..nashindwa kuelewa ningekuwa na roho ya zinaanimkubali hii ndoa ingekuwaje?

Kuna Yule jirani niliwaambia nae ndoa yake changaa…wanaitana honey honey mwanamke akigeuka tu anakukonyeza nahisi hata anammendeabeki 3 wangu….hadi nahama nyumba mwezi huu maana ni usumbufu mtupu…

Nikiangalia na mashost zangu wenye ndoa ni vilio vitupu
Hebu cheki hapa hi isms ni ya shoga yangu kanitumia jmos inimebaini kuwa mume wangu anatembea na msichana wakazi.Nimeligundua hilo kwa kuwa mume wangu hatulii room wakati wa ucku,nimeamuakumbana binti akanieleza ukweli ictoshe kwa sasa mi mjamzito nifanyeje best..kiukwelinilimshauri tu abaki na mumewe na amtimue beki 3 but daaah …ni story ndefu
Hebu niambieni tu maana ya ndoawapendwa …au ndoa zilikuwa zamani?
Maana kwa sasa kila mtu anaweza kutoka na yoyote mahali popote navoona…yaanimaisha ni mambo ya kambi popote sijui... naombeni majibu....

Inaelekea wewe ni hii micharuko tu ndiyo unayokumbana nayo. Hebu expand your horizon utaona hali tofauti katika ndoa za watu. Ingekuwa ndoa ni mbaya kama hadithi unazosimulia hapa watu wasingeendelea kuoana enzi na enzi hadi leo hii. Kuna watu wengi sana wenye furaha katika ndoa zao, labda kwa bahati mbaya hujapata nafasi ya kuwajua hao. Lakini pia kumbuka ndoa ni wawili wenye mazuri yao na mapungufu yao. Ni hesabu rahisi hivi: a+a=2a, b+b=2b. Kama 'a' ni yale mazuri na 'b' ni yale mapungufu, ni dhahiri katika wawili yote hayo yatakuwa mara dufu kama hesabu inavyoonesha, lakini unajua pia hata kwenye shati jeupe likiwapo doa hata liwe dogo hilo doa litaonekana zaidi kuliko ule weupe wa shati. Ushauri wangu ni kuwa usiogope ndoa, jaribu kutazama mbali zaidi na kwa undani zaidi ya haya uliyoona kwa hao wachache, yapo mengi mazuri katika ndoa ambayo hujayaona.
 
We ingia uonje radha yake ya kusimuliwa yasikukatishe tamaa usiingie na negative perception kuhusu ndoa ku control ndoa ni akili ya mtu
 
wenye ndoa zao wafunguke sie wengine tupite maana sijui chochote nisije kudanganya watu hapa...:boxing:
 
whether ni mkristo/muislam huwa kuna mafundisho flan kuhusu uchumba hadi ndoa. cha muhimu kufuata wakat unaingia ktk ndoa ama ukiwa katka ndoa ni kufanya yale yote mazur yanayompendeza Mwenyezi Mungu. usifuate mambo ya fashen wala kuiga maisha ya mtu flan. tekeleza wajibu wako wewe km mrs.flan. . . . km ukisema ndoa zote ni chungu it unasapot msemo wa kwamba wanawake wote hawaaminiki. je wewe pia utajiweka ktk hlo kundi? km husapot hlo bas jua pia kuna wanandoa wanafurahia ndoa zao.omba Mungu uwekati yao
 
Jamani naombeni kuwaulizeni wanaume hivi huwa mnaoa ili nini?
Labda -upate mtu wa kusex nae siku yoyote ukitaka?
-au upate watoto?
-au kuridhisha tu jamii na wewe ulioa au
- Ulipata mwanamkeakakulazimisha umuo
- ama ni nini?
maana kiukwelipersonaly kila mtu ananipigia kelele niolewe lakini kiukweli sijui maana ya ndoa,wala nikiwauliza watu maana yake hawanipi majibu ya kuniridhisha…hata nikisemanijifunze kwa vitendo kwa kuangalia ndoa zenyewe ndo nabaki hoi kabisa…

Yes… siwezi kusema maisha yangu yapo full satisfied …naitajihappiness but sijui kama ndoa ndo itakuwa jibu au solution ya kunipa furahamaishani.....
Ngojeni niwape mifano..but msinielewe vibaya..one daynilikuwa natafuta nyumba ..nikapata nyumba moja huyo kijana alikuwa anatakakuhama ..akanitongoza lakini wiki mbili mbele ndo alikuwa anafunga ndoa ..kwelinilishangaa sana hadi sasa ananitakajust imagine ndoa changaaa eti anadai hakuniona mapema mimi wala sina uzuriwowote basi tu uzinzi wake ..nashindwa kuelewa ningekuwa na roho ya zinaanimkubali hii ndoa ingekuwaje?

Kuna Yule jirani niliwaambia nae ndoa yake changaa…wanaitana honey honey mwanamke akigeuka tu anakukonyeza nahisi hata anammendeabeki 3 wangu….hadi nahama nyumba mwezi huu maana ni usumbufu mtupu…

Nikiangalia na mashost zangu wenye ndoa ni vilio vitupu
Hebu cheki hapa hi isms ni ya shoga yangu kanitumia jmos inimebaini kuwa mume wangu anatembea na msichana wakazi.Nimeligundua hilo kwa kuwa mume wangu hatulii room wakati wa ucku,nimeamuakumbana binti akanieleza ukweli ictoshe kwa sasa mi mjamzito nifanyeje best..kiukwelinilimshauri tu abaki na mumewe na amtimue beki 3 but daaah …ni story ndefu
Hebu niambieni tu maana ya ndoawapendwa …au ndoa zilikuwa zamani?
Maana kwa sasa kila mtu anaweza kutoka na yoyote mahali popote navoona…yaanimaisha ni mambo ya kambi popote sijui... naombeni majibu....

ni lazima udate dadangu kama ndo hivyo
 
Hizo zote ulizoorodhesha ni sababu "valid" zinazopelekea wanaume na wanawake kuoana. Ila hiyo orodha yako siyo "exhaustive" kwani kama ambavyo wanaume na wanawake walivyo wengi duniani basi na sababu ziko nyingi tu za kuoa. Na mara nyingi wanaume na hata wanawake husukumwa na "combination" ya sababu zaidi ya moja kuingia kwenye ndoa.

Ila jambo moja ni hakika. Bila kujali ni sababu ipi inakusukuma kuoa, ukishaoa/olewa tu utagundua kuwa ndoa siyo "event" ila ni "process" na inakuja ikiwa na "package" ya mambo mengine mengi ambayo hayapo kwenye vigezo vya kawaida vinavyowasukuma wanaume na wanawake kuingia kwenye ndoa. Na mara nyingi hapo ndio watu wengine wanaanza kuchanganyikiwa kwani wanasahau kuwa kuoa ni "process" inayoanza mara tu padre, mchungaji, shehe, mserikali au mzee wa kimila anapowatangaza rasmi kuwa nyie sasa ni bwana na bibi. Hapa sizungumzii hizi ndoa zenu za siku hizi za kujaribishana kwanza kabla hamjazirasmisha.

Nitaongea zaidi kama utahitaji ufafanuzi kwani kuna mambo mazito ambayo itabidi tuulizane umri kwanza kabla sijaendelea.

TATA umenena; Nafikiri wengi wanafikiri ndoa ni kwenda kanisani, kupiga matarumbeta na jioni kwenda kwenye tafrija; ndoa ni "PROCESS"; ambapo kuna KUACHA WAZAZI, KUAMBATANA NA KUWA MWILI mmoja, wengi huvuruga hapa kwenye KUAMBATANA, hapo ndio kasheshe kupita. Kufikia kuwa mwili mmoja sio kazi rahisi, inahitaji dhamira ya kweli na jitihada kwa kila mmoja. Hatua ya KUAMBATANA ndipo kila mmoja huanza kuona madhaifu ya mwenzake na kila mmoja anataka mwezake abadilike ili awe kama yeye, pasipo kuwa na kuvumiliana na kuchukuliana itakuwa ngumu kutengeneza tabia ya pamoja na kuachana na zile ambazo kila mmoja alikuwa nazo; mkiweza kuvuka hatua hiyo nasi mtakuwa mmetengeneza tabia moja na hapo itapelekea kuwa mwili mmoja, watu wenye nia moja na dhamira moja ya kujenga familia.
 
nikuulize swali moja dada... ni mimi peke yangu naona haya matatizo?

Smile hauko peke yako unayeyaona haya matatizo sote tunaona ila wewe umeyajengea chumba ndani ya nafsi yako kiasi kwamba ndiyo yanayoongza akili yako.

binafsi mimi huwa siweki shuhuda za kushindwa nafsini, na pia hata kama ni mume kaniboa nachukulia kama ni sehem ya maisha na silitilii maanani hili kosa kusudi lisije nharibia siku. Nasema, kisha nalifuta moyoni natafuta raha navuta tartiiiib! na hayo ndo maisha.

smile wakati naanza kazi nilikua naumia sana juu ya watoto yatima ikanifanya hadi nichukie kuzaa wakati tayari niko kwenye ndoa baada ya miaka 2 ndipo niliposema for how long should i keep this in my mind? je does it mean life does not have anything good to offer to our kinds except this nikaagundua hapana i so just open up ma leg and let the baby in na sasa ninao watatu.

kumbe ningefanya mapema ungenikuta leo hii silei kichanga cha miez pengine ma last born angekuwa mwanafunzi wa darasa la kwanza.

so leave behind these theories, and start your new life as a very detrmined girl who needs respect and happiness plus love. please meditate what i have just asked you utaona. uliza maswali mengi zaid ili utoke hapo ulipo.
 
Last edited by a moderator:
Japo cjaoa lakini kilio chako kmenigusa!! Hebu tulia umwombe mungu utapata mme bora. Kuoa/kuolewa n utaratibu wa jamii ze2 ndiyo maana tunaulizwa mbona huoi/huolewi lakini ucjione mpweke kukosa mwenza piga magoti umwombe Mungu atakupa mme bora
 
yaani sijakuelewa hata tone mkuu

Single Parent hiyo inakusumbua, laiti kama unatoka kwenye familia njema, kwa maana ya Baba na Mama yako bado wapo kwenye ndoa na wanafuraha na ndoa yao, wala usingekuja hapa kupiga kelele maana misingi na umuhimu wa ndoa ungevipata hukohuko kwenu.

Kwahiyo hata watu waeleze vipi kuhusu uzuri wa ndoa kamwe hautaelewa.

Ni sawa na mtu aliyeko kwy shimo na hajui kama yuko kwy shimo hawezi kuona umuhimu wa kutoka ktk hilo shimo.

Au mtu aliyezaliwa kipofu, kwake yeye amezaliwa hiyo na anaweza asione umuhimu wa kuona labda nyie mnaoona mumjaze ujinga wa kutaka kuona. Mnaoona ndio mtakua mnasema anateseka na kutaka kumsaidia lakini yeye hajawahi kuona kwahiyo hata kuelewa maana ya kuona ni nini haelewi. Upooooooooooo.............!!

Kama huelewi bado basi kaa kimya hutaelewa, subiri maisha yakutende ndio utatia akili.
 
Kwa kiwiliwili hiki (smile halisi), nikikumbuka na avatar ya awali (closely similar to real smile) + ucheshi + purity hadi kidato cha N.K. kwanini jirani asigundue makosa yake bwana (ktk kuchagua).

Utaanza kwa kutamani mtoto, siku ukimpata utatamani babayake.
 
Darling Smile (Ingawa umewauliza wanaume tu............leo ninaomba nimsaidie Soulmate wangu Mbu kuvaa bukta)

Mpenzi wangu ndoa ni mpango maalumu wa watu WAWILI WAPENDANAO KWA DHATI ambao kwa rehema zake MUNGU wanakubaliana kuishi pamoja katika hali ya uhalali BILA kuwa na Malengo yoyote serious! YES nasema bila malengo serious kwa kuwa Watoto au mali huja kama majaliwa lakini kwa wapendanao haya sio msingi wa mapenzi yao.

Again nawezasema hata sex ya kila siku si lengo la kuoa au kuolewa kwa watu wa aina hii. Hivyo basi ukimpenda mtu, unatamani tu kuishi nae/ awe karibu nawe hata kama hamna watoto/mali au sex ya kila siku.

Hivyo basi usikubali kuolewa kabla hujampata mtu wa aina hii. Mtu utakayejisikia kumpenda tu, mtu ambaye utajisikia vibaya kumcheat kwa makusudi ! (Mbu, Babu DC na Asprin hapa piteni kama hujapaona). Otherwise wengi wetu tunaofanya madudu ya ajabu katika ndoa zetu ni kwa sababu tuna ndoa ambazo tunawezaziita .......... marriages tokeo. Yaani ni ndoa zilizotokana na kitu flani other than mapenzi ya dhati kwa wawili hao.

Mbu chukua bukta yako bwana kwanza inanibana. ........
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nashauri kuanzia sasa kwenye katiba mpya iseme wazi kuwa mtu akiwa anataka kuoa basi lazima apimwe akili kwanza kisha ndio akili ili kujua hili maana sisi wenye akili tumetulia
 
smile ndoa ni comitement kubwa sana na nikifungo cha maisha kwa aliye tayari,vijana wa siku hizi tunaowa au kuolewa kwa shindikizo ila sio utayari wa kuowa na kuanza maisha we na mweza,mfano kuna mdogo wangu alimpa mwanamke mimba akiwa na miaka 22,alikuwa ni dereva tax familia ilika ikamwambia yuko tayari kuowa au wale mtoto kwanza,kijana akaisi yuko tayari akasema anataka kuowa basi ikafanyika arusi ya mtanange mbwewbwe kibao,ndani ya miaka miwili ikawa shida kijana analala njee harudi nyumbani hata siku tatu,wakaamua kuachana kijana now anaangaika tu na anajuta kwanini aliowa.mi ushauri wangu vijana tusikurupuke na fanya mambo yako yote kwanza ukiamua kuingia kwenye ndoa jitambue na uhieshimu. binafsi kila siku wananikomalia kijana owa ushakuwa mkubwa na unamaisha yako...jibu langu ni moja sipo tayari kwa sasa kuowa
 
Jamani naombeni kuwaulizeni wanaume hivi huwa mnaoa ili nini?
Labda -upate mtu wa kusex nae siku yoyote ukitaka?
-au upate watoto?
-au kuridhisha tu jamii na wewe ulioa au
- Ulipata mwanamkeakakulazimisha umuo
- ama ni nini?
maana kiukwelipersonaly kila mtu ananipigia kelele niolewe lakini kiukweli sijui maana ya ndoa,wala nikiwauliza watu maana yake hawanipi majibu ya kuniridhisha…hata nikisemanijifunze kwa vitendo kwa kuangalia ndoa zenyewe ndo nabaki hoi kabisa…

Yes… siwezi kusema maisha yangu yapo full satisfied …naitajihappiness but sijui kama ndoa ndo itakuwa jibu au solution ya kunipa furahamaishani.....
Ngojeni niwape mifano..but msinielewe vibaya..one daynilikuwa natafuta nyumba ..nikapata nyumba moja huyo kijana alikuwa anatakakuhama ..akanitongoza lakini wiki mbili mbele ndo alikuwa anafunga ndoa ..kwelinilishangaa sana hadi sasa ananitakajust imagine ndoa changaaa eti anadai hakuniona mapema mimi wala sina uzuriwowote basi tu uzinzi wake ..nashindwa kuelewa ningekuwa na roho ya zinaanimkubali hii ndoa ingekuwaje?

Kuna Yule jirani niliwaambia nae ndoa yake changaa…wanaitana honey honey mwanamke akigeuka tu anakukonyeza nahisi hata anammendeabeki 3 wangu….hadi nahama nyumba mwezi huu maana ni usumbufu mtupu…

Nikiangalia na mashost zangu wenye ndoa ni vilio vitupu
Hebu cheki hapa hi isms ni ya shoga yangu kanitumia jmos inimebaini kuwa mume wangu anatembea na msichana wakazi.Nimeligundua hilo kwa kuwa mume wangu hatulii room wakati wa ucku,nimeamuakumbana binti akanieleza ukweli ictoshe kwa sasa mi mjamzito nifanyeje best..kiukwelinilimshauri tu abaki na mumewe na amtimue beki 3 but daaah …ni story ndefu
Hebu niambieni tu maana ya ndoawapendwa …au ndoa zilikuwa zamani?
Maana kwa sasa kila mtu anaweza kutoka na yoyote mahali popote navoona…yaanimaisha ni mambo ya kambi popote sijui... naombeni majibu....

....Smile niaje?....

...hapana, usiolewe kwakuwa kina fulani wanakulazimisha kuolewa.
Wengi huoana kwakuwa ndio mfumo wa maisha tulioukuta enzi na enzi.
Lengo, nia na madhumuni ilikuwa/nikuwa ndoa itasimamia;

- haki za mke/mme na mipaka yake (territorial)
- heshima ya mwanamke/mwanaume
- haki za umiliki, mali na katika hayo
- haki za watoto, wazazi na familia wanaoizunguka ndoa hiyo
- ilinzi, wenza, msaada, na katika hayo

Jinsi ya kufanikisha zoezi zima juu ya hilo ndipo misingi mingine ya maisha inapoingia kati ikiwamo
kujenga urafiki, huruma, kusaidiana, kupoendana na kila kitu kionachoashiria UPENDO na nia njema.
Ndoa sio furaha ya milele, ila ndoa yaweza kuwa furaha ya milele iwapo utafanikiwa kumpata mwenza mwenye mtazamo chanya wa maisha sawa na wewe unavyoyatazama, kuyapokea na kuyakubali.

Ndoa inasimammiwa na haki na misingi yake, ikiwamo tafsiri zako na jamii yako, imani yako ya dini, na hata uwezo wako wa kuchambua nini kibaya na nini kizuri kwa nafsi ya mwenzako. Ndoa maana yake Spiritual sacrifice na woga wa hukumu za imani yako ya dini na hukumu zake kidunia na ahera katika kutenda yale yatayostawisha Ndoa na mapenzi yenu, ...na kuepuka yote yanayowezatia dosari na hata kuamsha hisia za chuki, wivu na hata kunyausha pendo baina yenu wawili.

Hiyo ndio tafsiri yangu Mbu ya Ndoa...

Darling Smile (Ingawa umewauliza wanaume tu............leo ninaomba nimsaidie Soulmate wangu Mbu kuvaa bukta)

Mpenzi wangu ndoa ni mpango maalumu wa watu WAWILI WAPENDANAO KWA DHATI ambao kwa rehema zake MUNGU wanakubaliana kuishi pamoja katika hali ya uhalali BILA kuwa na Malengo yoyote serious! YES nasema bila malengo serious kwa kuwa Watoto au mali huja kama majaliwa lakini kwa wapendanao haya sio msingi wa mapenzi yao.

Again nawezasema hata sex ya kila siku si lengo la kuoa au kuolewa kwa watu wa aina hii. Hivyo basi ukimpenda mtu, unatamani tu kuishi nae/ awe karibu nawe hata kama hamna watoto/mali au sex ya kila siku.

Hivyo basi usikubali kuolewa kabla hujampata mtu wa aina hii. Mtu utakayejisikia kumpenda tu, mtu ambaye utajisikia vibaya kumcheat kwa makusudi ! (Mbu, Babu DC na Asprin hapa piteni kama hujapaona). Otherwise wengi wetu tunaofanya madudu ya ajabu katika ndoa zetu ni kwa sababu tuna ndoa ambazo tunawezaziita .......... marriages tokeo. Yaani ni ndoa zilizotokana na kitu flani other than mapenzi ya dhati kwa wawili hao.

Mbu chukua bukta yako bwana kwanza inanibana. ........

....sijakusoma Soulmate pale juu lol...

Penye wekundu, BIG UP kwa kipaji kikubwa cha uelewa wako,
mwenyezi mungu akuzidishie...
 
Wale wadada wanaotaka kuzaa tu na kuishi bila mme wajifunze hapa hao watoto wenu nao hawatakuja kujua umuhimu wa ndoa kwasasa wewe mama hawajawahi kukuona kwenye maisha ya ndoa. Kwa upande wangu jinsi mama na baba walivyoishi vizuri mpaka napata wasiwasi jinsi ya kuchagua mke kama je nitapata mwanamke ambaye nitaishi naye kwa fulaha kama wazazi wangu walivyo.
 
Kuna umri unaweza pata hivyo lakini at some point unahitaji kusettle. Na kwa maumbile yetu sisi binadamu kila mtu anakaubinafsi yaani unataka changu, mume wangu, watoto wangu, penzi langu na si chetu au letu. Kuna umri ambao huwezi pata wanaume ambao hawajaoa, matokeo yake utaishia kuiba waume wa watu kwa ajili ya kutimiza matakwa ya ngono.

Na kingine, mara nyingi mabaya ndio yanayosemwa hivyo mifano ya ndoa nzuri ipo tu ni swala la kumuomba Mungu. Look for real God fearing man, na si hawa wanaume ambao wengi tunakuwa attracted nao.

Kaunga, kwanza chukua five ndg yangu! Kusema kweli hapo kwa red umetaja chanzo hasa cha wanawake/wasichana wengi kuishia kulia ktk relationships zao! Binafsi huwa natamani wasichana/wanawake wote wangezingatia hili wanapokuwa wanachagua wenza wao. Nimekuwa nikijaribu kuwashauri kuchagua mwanaume mcha Mungu hasa, lakini wapi bana, wengi wao hawasikii, matokeo yake ndo hayo ya kulizana kila kukicha. Eti wenyewe wanadai wanaume wa jinsi hiyo hawajui mapenzi (wakimaanisha haya ya kujionyesha barabarani), ni washamba, hawajui kuvaa, hawajui mitoko n.k (hope wewe kama mwanamke unajua zaidi vitu vinavyowavuta wanawake/wasichana kwa mwanaume).
 
with all due respect, ningemshauri smile abaki single tu for the rest of her life kuliko kuingia kwenye ndoa akiwa na hiyo pre-conceived negative perspective ya concept nzima ya ndoa kwenye psyche yake....

kinyume cha hapo, kuna possibility kubwa kwamba ndoa yoyote atakayoingia ita- hit rock-bottom on day one no matter mwenza atakayempata atakuwa ni mwema na mwaminifu kiasi gani...
 
haya dada tumekusikia. mie nachoweza kusema ni kwamba wewe mwenye kwanza naona ur aim ni kusearch for total happines ambayo umekiri kuwa bado huna. pia una ile notiona ambayo wengi tumeaambiwa kuwa ndoa itakuwa source of happines...which kuna element of truth provided umepata the right person.

ni kweli kabisa ndoa za siku hizi zina usanii sana na hiyo inaweza kuwakatisha tamaa watu wengi mie nikiwa mmoja wapo. sasa mie naona wewe ufocus kwenye search ya happiness now this can come from marriage au lah. u myt find that happiness thru sexmate yote ni possibility but ur focus should be on wat makes u happy becoz that seems to be the real problem and not hizo ndoa za hao marafiki au majirani.
 
Back
Top Bottom