Recent content by Siasa

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU

    PCCB hawana strength zaidi ya CAG. Inamaana CAG asingebaini madudu hela za walipa kodi si zilishaibwa na hao jamaa? Inawezekana kabisa hao wezi wanakula mchongo na PCCB. Waburuzwe wote hao mahakamani na wote wawe chini ya uchunguzi. PCCB haina kazi hapa nchini. Ifutwe tu! Wao walitakiwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU

    Kati ya taasisi ninazopendekeza zifutwe hapa nchni ni hiyo takukuru. Inaongoza kwa rushwa. Hawana maana yoyote zaidi ya kula bure pesa za walipa kodi. Ktk sakata hili wangeanza kushitakiwa hao takukuru kwa kushindwa kuwajibika. Kama wangekuwa wanawajibika wizi huo ungetokea wapi?????? Mpaka...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Takukuru watawachunguza mawaziri watuhumiwa! Walikuwa wapi hadi mambo yanafika hapa?

    TAKUKURU ipigiwe kura ya kutokuwa na imani tu. Ni mafisadi nambari Moja hapa nchini.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Best paying company in tanzania

    Unajua kweli unayoyaongea mkuu? Sidhani kama hiyo ndiyo mishahara ya hayo makampuni uliyoyataja. Nafikiri ni chini zaidi ya hapo.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba Business Idea

    Wakuu, ninao mtaji wa sh.milioni kumi. Nataka nianze biashara hapa Sinza. Naomba ushauri wenu tafadhali. Nimetafakari nifanye biashara gani nimeshindwa kujua ipi itanilipa kwa kiasi hicho kidogo nilichonacho. Asanteni.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni viwanja vizuri vya kustareheka hapa Capital CIty

    Mtulivu kama mimi,ni wapenzi wa siku nyingi,tunataka sehemu nzuri tule raha jioni hii
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nijuzeni viwanja vizuri vya kustareheka hapa Capital CIty

    Wakuu nimeingia Dodoma jioni hii. Nataka nile wkend na kimwana wangu aliyepo hapa hapa. Nijuzeni viwanja vipi naweza toka nae. Ningependa sehemu iliyotulia,ninadrive.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Waliompora Malima Morogoro wanaswa, vitu vyapatikana.....

    Hapo ndipo jamii inapokosa kabisa imani na polisi wetu. They can very easily be used to manipulate facts. Taarifa hiyo ni media cover up tu,na inajicontradict sana. Ukisoma mwanzo unakuta kamanda anakataa kuwa silaha hiyo haikuwa SMG lakini then unaona polisi akisema ...mwizi hakuiba ile bastola...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye majina ya ajabu Tanzania

    mchina-mwanzo iko zanzibar
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kumbe hata kuitwa Daktari mwanafunzi kwa Interns Doktors ni moja ya makosa?

    kama hilo ndio lilowafanya madaktari wetu kukugoma basi tuna kazi ngumu nchi hii
  11. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

    Hapo imekula kwake!
  12. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

    Kwani IGP ndiyo anaetakiwa kuconclude uraia wa huyo mtu, au anafanya pia kazi za Kamishna wa uhamiaji?
  13. S

    JamiiForums Tanzania which is the best university in tz?

    Kama suala ni kuangalia ufaulu wa mitihani ya BOARD ya uhasibu,basi hahitaji hata kwenda university. Hata vyuo visivyo ktk hadhi ya university watu wanafanya review na kusit board exams na wanafaulu. Academics siyo mitihani ya board ya uhasibu tu. Package ya chuo kikuu ina mengi zaidi ya hayo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kweli mwanaume hela, njemba imeumbuka mbayaaaaaaaaa!

    Sauti za mahaba zikizidi nawewe kula wako
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kweli mwanaume hela, njemba imeumbuka mbayaaaaaaaaa!

    Ila tatizo lako na wewe ukishapanda daladala macho yako ni kwa wanawake tu pamoja na masikio yako,unaangalia wanafanya nini na kusikiliza story zao. Uwe unanunua hata gazeti la jiti mzee ukishapanda daladala jikip bize.
Back
Top Bottom