Rushwa na uraia wa Siyoi, CCM watafutana uchawi badala ya kujibu HOJA

FJM,

Mimi simjui Siyoi kwahiyo siwezi kuingia kujadili status yake maana sijui kama ni Mtanzania au sio Mtanzania. Ila kama wazazi wake wote wawili walikuwa watanzania wakati anazaliwa kule Kenya, huyo ni MTANZANIA kufuatana na kifungu namba 6 cha sheria ya uraia ya 1995. Kifungu chenyewe ni hiki hapa.

6.
Every person born outside the United Republic on or after Union
Day shall, with effect from the date of his birth, be deemed to have
become and to have continued to be, and with affect from the commence
ment of this Act shall become and continue to be, a citizen of the United
Republic if at the date of his birth his father or mother is or was a citizen
Republiof the United Republic otherwise than by descent, subject to the proviDay
sions of section 30.

Mkuu FJM,
Umekosea kusoma Kifungu cha 6 cha Sheria ya Uraia, 1995 pekee bila pia kujumuisha kifungu cha 7(1) kinachoelekeza mambo ya kukana uraia! Go and finish up your homework!
 
naomba kuuliza na mimi uraia wangu..baba alizaliwa Kigali...akaja tanzania 1958..akasoma huku elimu yote hadi chuo kikuu..na akapewa passport ila cjui kaipataje...na mimi nimezaliwa bongo...ila nakuwa kigali na kivu mara nyingi tu...na nina passport ya tanzania..je mimi ni raia wa wapi? na mzazi wangu je?....kuwa na passport ya Tanzania ni kigezo cha kuwa mtanzania?....msaada wenu japo nimeingilia mada

..maana yake mzazi wako (namaanisha baba yako-siju kwa upande wa mama as hujasema) si Mtanzania, na kwa maana hiyo wewe hata kama ulizaliwa Tanzania inabdi ufanye prrocess za kupata uraia wa Tanzania-kutokana na kuwa mzazi wako si Mtanzania.
 
Mkuu, you have made my day! Simple, clear, and to the point! Kweli kabisa, haihitajiki Katiba ya Kenya hapa ku-discuss suala la uraia wa Sioi; badala yake inahitajika Katiba na Sheria za Tanzania pekee.

Otherwise, tukichanganya Katiba na Sheria za Kenya na zile za Tanzania, tutakuta Sioi sio mkenya wala mtanzania; he is somewhere in-between! Atakuwa ni aina fulani ya "maruhani", someone who does not exist!

naomba kutofautiana na wewe. katiba ya kenya itatusaidia kujua kama mtu ambaye wazazi wake sio wakenya na akazaliwa kenya, hadhi yake inakuwaje? So hili linapatikana ndani ya katiba ya Kenya na wala sio katiba ya tanzania. katika katiba yetu inaeleza wazi kuwa mtu ambaye amezaliwa na wazazi wote ni watanzania basi huyo ni mtanzania. Nachelea kuzema kwa namna fulani mwigulu mnchemba anaweza kuwa yuko sahihi hata kana siipendi CCM kabisaaaaa. Anyway hapa upo umuhimu pia wa kuzifahamu kw akina sheria za uraia/uhamiaji kwa nchi zote mbili, Tanzania na kenya pia
 
Wana JF, swala lilikatiwa rufaa ni kihoro cha uchaguzi tu. Mkata rufaa anametishika tu. Ni kwamba Sioi hana uraia wa kenya bali ana cheti cha kuzaliwa na kwa mjibu wa sheria hakuwa na uraia wa kuukana. Unapokuwa umezaliwa nje ya nchi pia hukani kuzaliwa nje ya nchi. Sioi hangeweza kukana kuzaliwa kenya. Lakini kuna nchi kama America ambayo ukizaliwa tu huko tayari ni raia hivyo ukirudi TZ ni lazima uukane uraia huo ulioupata kwa kuzaliwa nchi za aina. Chadema na mgombea wao ningewashauri wahangaike kutafuta kura badala ya kutafuta ushindi wa mezani ambao ni zaidi ya viti maluum maana hata viti maalum watu wanashindania.

Unataka Kusema kwamba Nape ni Mpika Majungu? Humuamini Kiongozi wako?
 
Chadema hizo mambo haziwafikishi popote nendeni mkashindane kwa kunadi sera zenu.

Mkuu tuko kazini tayari,Tumezindua kampeni leo.Tunaendelea kupambana wakati CCM Wakijaribu kupangua hoja kumtetea mgombea wao.Hatujalala tukitegemea pingamizi hilo.
 
Wana JF, swala lilikatiwa rufaa ni kihoro cha uchaguzi tu. Mkata rufaa anametishika tu. Ni kwamba Sioi hana uraia wa kenya bali ana cheti cha kuzaliwa na kwa mjibu wa sheria hakuwa na uraia wa kuukana. Unapokuwa umezaliwa nje ya nchi pia hukani kuzaliwa nje ya nchi. Sioi hangeweza kukana kuzaliwa kenya. Lakini kuna nchi kama America ambayo ukizaliwa tu huko tayari ni raia hivyo ukirudi TZ ni lazima uukane uraia huo ulioupata kwa kuzaliwa nchi za aina. Chadema na mgombea wao ningewashauri wahangaike kutafuta kura badala ya kutafuta ushindi wa mezani ambao ni zaidi ya viti maluum maana hata viti maalum watu wanashindania.

Mimi nilizaliwa Kenya na nilipokwenda uhamiaji kuomba passport, niliambiwa ni lazima niukane uraia mmoja,wa Kenya ambao niliupata automatically kwa kuzaliwa kule, au wa Tanzania ambao nimeupata kwa kuwa wazazi wangu ni wazawa. na ilibidi niukane uraia wa Kenya ndio nipewe passport ya Tanzania. Na kumbuka, sikuwa na document yoyote inayoonyesha mimi ni raia wa Kenya isipokuwa cheti cha kuzaliwa kilichotolewa na hospitali ya Agakhan Nairobi. Sasa unataka kusema sheria zinatofautiana kutegemeana namtu na mtu? Tukubali tu kuwa alikosea, alitakiwa kuukana uraia wa Kenya, and its not tooo late.
 
Kama una umri wa miaka 18 na zaidi, nakushauri Jumatatu uamkie Uhamiaji. As of this second wewe sio raia wa Tanzania, hiyo passsport haina tofauti na ticket ya basi la Sumry.
@ FJM....i beg to differ in this case here...kwa kuuliza swali la msingi sana....kama mnasema huyu kijana wa kigali si mtanzania kwa kuwa alizaliwa Tanzania na wazazi ambao hawakuwa watanzania sasa inakuwaje Sioyi mseme ni mkenya???...wakati alizaliwa Kenya na wazazi wasio wakenya??....kama issue inayomfanya Sioyi aonekane mkenya ni umiliki wa cheti cha kuzaliwa cha Kenya basi hata huyu kijana wa kigali aliyezaliwa Tanzania lazima atakuwa na cheti cha kuzaliwa cha Tanzania....maana alizaliwa Tanzania......na kwa maana hiyo hatakuwa na haja ya kuhangaika uhamiaji leo....hili linaongezewa nguvu na umiliki wake wa passport ya Tanzania......maana sharti moja wapo la kupata passport ya Tanzania ni umiliki wa cheti cha kuzaliwa........Mwigulu Nchemba may have a point here....na kwa maana hiyo clarity zaidi itatakiwa toka upande wa katiba ya Kenya kujua je inakuwaje uraia wa mtoto aliyezaliwa Kenya na wazazi wasio wakenya(hata kama anamiliki cheti cha kuzaliwa cha Kenya)??.......my food for thought...
 
Mimi nilizaliwa Kenya na nilipokwenda uhamiaji kuomba passport, niliambiwa ni lazima niukane uraia mmoja,wa Kenya ambao niliupata automatically kwa kuzaliwa kule, au wa Tanzania ambao nimeupata kwa kuwa wazazi wangu ni wazawa. na ilibidi niukane uraia wa Kenya ndio nipewe passport ya Tanzania. Na kumbuka, sikuwa na document yoyote inayoonyesha mimi ni raia wa Kenya isipokuwa cheti cha kuzaliwa kilichotolewa na hospitali ya Agakhan Nairobi. Sasa unataka kusema sheria zinatofautiana kutegemeana namtu na mtu? Tukubali tu kuwa alikosea, alitakiwa kuukana uraia wa Kenya, and its not tooo late.
Ungeonyesha uraia wa wazazi wako usingetakiwa uukane uraia wa kenya kwa sababu haukuwa raia wa kenya. Ila kuokoa muda na paperwork ni rahisi kuukana na kuchukua mkoba.
Wewe haukuwa raia wa kenya kwa sababu.
1. Huna hata mzazi mmoja ambaye ni raia wa kenya.
2.Umekaa nje ya kenya kwa miaka saba au zaidi bila kuripoti ubalozini (incase u were a kenyan citizen)
3. On top of namba 2,kama mzazi wako mmoja angekuwa mkenya, hata wiote wawili bado wewe si raia wa kenya kwa kuwa ulipotimiza miaka 21 hukukana uraia wa Tanzania au kuomba uraia wa kenya.

Uraia wako wa kenya haukua wa kihalali. Hata huku ughaibuni, huwa tunatumia lawyers kuwatoa nishai immigrations wanapoleta chokochoko sometimes. You needed a lawyer, but the option was so easy that you just had to renounce your so called Kenyan citizenship.
Usijali, Sioi ni raia wa Tanzania. CCM na kampeni timu ya sioi wana lawyers watching lawyers!!
 
Wana JF, swala lilikatiwa rufaa ni kihoro cha uchaguzi tu. Mkata rufaa anametishika tu. Ni kwamba Sioi hana uraia wa kenya bali ana cheti cha kuzaliwa na kwa mjibu wa sheria hakuwa na uraia wa kuukana. Unapokuwa umezaliwa nje ya nchi pia hukani kuzaliwa nje ya nchi. Sioi hangeweza kukana kuzaliwa kenya. Lakini kuna nchi kama America ambayo ukizaliwa tu huko tayari ni raia hivyo ukirudi TZ ni lazima uukane uraia huo ulioupata kwa kuzaliwa nchi za aina. Chadema na mgombea wao ningewashauri wahangaike kutafuta kura badala ya kutafuta ushindi wa mezani ambao ni zaidi ya viti maluum maana hata viti maalum watu wanashindania.

Sitaweza kurudia sana hapa refer thread number 55, imeeleza vizuri sana. Kwa kifupi Tanzania tuna uraia wa aina tatu,
(1) Uraia wa Kuzaliwa (citizenship by birth)-Huu napatikana kwa mtu yoyote aliyezaliwa Tanzania with a condition that, mzazi mmoja wapo au (wote) awe either raia wa kuzaliwa au raia wa kwandikishwa.

(2) Raia wa kuandikishwa (citizeship by naturalisation)- Huu hupatikana kwa kuomba, ikiwa raia yoyote wa kigeni anayeishi Tanzania kwa muda usiopungua miaka kumi, au pungufu ya hapo kama waziri ataona inafaa, ambaye anania kubaki Tanzania kwa muda wote wa maisha yake. Huu ndio mara nyingi tunauona kwenye magazeti watu wakiomba

(3) Uraia wa kurithi (citizenship by descent)- Huu ni uraia mtu yoyote aliyezaliwa nje ya Tanzania huku wazazi wake wakiwa Watanzania raia wa kuzaliwa au wa kuandikishwa. Watu wanaozaliwa ikiwa wazazi wao wanafanya kazi kwenye balozi hao watu wanahesabika wamezaliwa Tanzania. Pia ileweke kuwa mtu ukizaliwa kwenye chombo cha usafiri (ndege, meli.e.t.c) unahesabika umezaliwa kwenye nchi ambayo hicho chombo kimeandikishwa

Ileweke kuwa sheria ya uraia ya Tanzania, haitambuwi uraia wa nchi mbili au tatu, with exception kwa mtu mwenye uraia wa kurithi. Raia wa kurithi anaruhusiwa kuwa na uraia wa nchi mbili mpaka pale atakapofikisha umri wa miaka kumi na nane (18) anatakiwa kukana uraia wa nchi nyingine na kubaki na uraia wa Tanzania pekee. Hiki kitendo watu wengi hawakifanyi na price yake wanaipata pale wanapotaka uongozi wa kisiasa

Pia hakuna mahara popote pale ambapo sheria ya uraia ya Tanzania inatoa exception katika kukana uraia kwa mtu mwenye uraia wa kurithi, kwamba either kama huyo mtu kazaliwa kwenye nchi ambayo inatoa automatic citizeship kama US au conditional citizeship kama Kenya kwamba aukane uraia wake wa awali au hapana. Sheria ya Tanzania inawataka watu wote wenye uraia wa kurithi kuukana uraia wa nchi walizozaliwa pale wanapofikisha umri wa miaka kumi na nane, without exception kama Mh Mchemba unavyotaka tuamini. Naona hapo Mh umetumia common sence na sio sheria unavyosema, ni vizuri kama ukaweka ushahidi wa hayo mnayoyaamini. Pia sheria inatoa mwanya wa mtu kupewa uraia hata kama hajakana uraia wa nchi nyingine, ikiwa atathibitisha tu kuwa ni vigumu au haiwezekani kukana uraia wa nchi nyingine ambayo inamtambuwa au haimtambui kuwa ni raia wake

What about SIYOI?
Kwa kesi ya Siyoi ilivyo, yeye anafall katika category ya tatu yaani raia wa Kurithi kwa kuwa alizaliwa Kenya na wazazi watanzania. Wazazi wake walikuwa hawafanyi kazi za ubalozi huko Kenya wakati jamaa anazaliwa.
Pasipo kujali kuwa either Kenya walikuwa wanamtabua kuwa raia wao au hapana, Tanzania ilikuwa inamtambua Siyoi kama raia wa Kurithi yaani alikuwa na uraia wa Kenya na Tanzania na alivyofikisha umri wa miaka 18 kama alishindwa kuukana uraia wa Kenya alipoteza sifa za kuwa raia wa Tanzania. Kwa mazingira yake kama inaonekana ilikuwa ni vigumu kwa yeye kukana uraia wa Kenya kwa kuwa Kenya walikuwa 'hawamtambui' kama raia, alipaswa kupeleka maelezo hayo idara ya Uhamiaji ili wamwelewe kuwa kwa kesi yake hawezi kukana uraia na wa mpe uraia wa Tanzania

Kwa jinsi nilivyosoma sheria ya uraia ya Kenya, Siyoi pia hana sifa ya kuwa raia wa Kenya kwa umri alionaona. Swali sasa linakuja Siyoi ni raia wa aina gani?
Jibu ni jepesi SIYOI SUMARI hana Uraia wa nchi yoyote ile Duniani (Stateless). Watu wa aina hii wapo wengi tu duniani ambao wanaishi kwa kutokuwa na uraia wa nchi yoyote kisheria. Ila kwa Tanzania I know anything can happen

NB
Issue hii ni tofauti na Kesi ya Ulimwengu, licha ya mwamba wote Siyoi na Generali wanajikuta wanakuwa sio raia wa nchi yoyote ile Duniani, Siyoi anapaswa kuukana uraia wa Kenya, kwa kuwa yeye alishawahi kuwa raia wa kurithi mpaka alipofikisha umri wa miaka 18 ndipo uraia wake ulikoma, Ulimwengu hakuwahi kuwa raia wa Tanzania kwani hata Wazazi wake hawakuwahi kuwa raia wa Tanzania, ndio maana yeye aliambiwa aombe uraia wala hakuambiwa aukane tu uraia wa Rwanda.

Kwa maoni yangu sheria ya Uhamiaji ya Tanzania inamapungufu mengi. Ikifika stage kama hizi ndio mapungufu yake yanaonekana. Kwa mfano mpaka sasa raia yoyote wa kurithi, mwenye mke au mume ambaye sio raia wa Tanzania au ni raia wa kurithi, akizaa mtoto nje ya nchi huyo mtoto anakuwa sio raia wa Tanzania, wala uraia wa kurithi haupati. Itampasa huyo mtoto amuombee uraia wa kwandikishwa kama anataka awe Mtanzania.

Wito kwa Watanzania wote wenye uraia wa kurithi nendeni mkakane uraia wa nchi mlizozaliwa, maana kwamtindo huu mkekalia kuti kavu bila kujijua

Source Tanzania citizeship Act 1995-http://www.bunge.go.tz/Polis/PAMS/Docs/6-1995.pdf
 
@ FJM....i beg to differ in this case here...kwa kuuliza swali la msingi sana....kama mnasema huyu kijana wa kigali si mtanzania kwa kuwa alizaliwa Tanzania na wazazi ambao hawakuwa watanzania sasa inakuwaje Sioyi mseme ni mkenya???...wakati alizaliwa Kenya na wazazi wasio wakenya??....kama issue inayomfanya Sioyi aonekane mkenya ni umiliki wa cheti cha kuzaliwa cha Kenya basi hata huyu kijana wa kigali aliyezaliwa Tanzania lazima atakuwa na cheti cha kuzaliwa cha Tanzania....maana alizaliwa Tanzania......na kwa maana hiyo hatakuwa na haja ya kuhangaika uhamiaji leo....hili linaongezewa nguvu na umiliki wake wa passport ya Tanzania......maana sharti moja wapo la kupata passport ya Tanzania ni umiliki wa cheti cha kuzaliwa........Mwigulu Nchemba may have a point here....na kwa maana hiyo clarity zaidi itatakiwa toka upande wa katiba ya Kenya kujua je inakuwaje uraia wa mtoto aliyezaliwa Kenya na wazazi wasio wakenya(hata kama anamiliki cheti cha kuzaliwa cha Kenya)??.......my food for thought...

@nderingosha, unakumbuka issue ya Bashe? Alizaliwa Tanzania na anayo passport ya Tanzania lakini ilibidi ALE kiapo cha UTII kwa Tanzania kabla ya kuchukua form za kugombea. Wazee wake Bashe hawakuwa na asili ya Tanzania hivyo watoto wanarithi uraia hadi wanapofikia umri wa miaka 18. Baada ya hapo wanahesabika kama watu wazima hivyo kama wanataka kuendelea kuwa raia watanzania wanatakiwa 'watakaswe' (kiapo) na kuwa raia rasmi wa Tanzania.

Hii Sioi is vice versa kazaliwa Kenya na wazazi wake wote ni Tanzania.

Lakini kwa huyu mdau mwingine aliyezaliwa Tanzania huku mzee wake akiwa sio Mtanzania issue yake inaweza kuwa complicated kama mzazi wake hakuwahi kuomba rasmi uraia wa Tanzania. Passport peke yake haiwezi kuhalalisha uraia wa mtu, walau kwa Tanzania. Kwa kifupi kama mzee wake hawakuhi kuomba uraia uhamiaji akikamatwa na hiyo passport atajikuta Keko (kama sheria zitafuatwa)
 
4) A citizen of the United Republic shall cease to be a citizen it
(a) having attained the age of eighteen years, he acquired the citizenship
of some country other than the United Republic by a voluntary
act other than marriage;
(b) having attained that age of eighteen years, he otherwise acquired
the citizenship of some country other than the United Republic,
or while a citizen of the former Republic of Tanganyika or the
former People's Republic of Zanzibar; and has not, by the
specified date renounced his citizenship of that other country,
taken the oath of allegiance and made and registered a declaration
prescribed by Parliament regarding his intention as to residence.

Kama sheria zitafuatwa inavyotakiwa ,Siyoi ana chake hapo, aanze tu utaratibu wa kuukana uraia wa Kenya .
 
naomba kutofautiana na wewe. katiba ya kenya itatusaidia kujua kama mtu ambaye wazazi wake sio wakenya na akazaliwa kenya, hadhi yake inakuwaje? So hili linapatikana ndani ya katiba ya Kenya na wala sio katiba ya tanzania. katika katiba yetu inaeleza wazi kuwa mtu ambaye amezaliwa na wazazi wote ni watanzania basi huyo ni mtanzania. Nachelea kuzema kwa namna fulani mwigulu mnchemba anaweza kuwa yuko sahihi hata kana siipendi CCM kabisaaaaa. Anyway hapa upo umuhimu pia wa kuzifahamu kw akina sheria za uraia/uhamiaji kwa nchi zote mbili, Tanzania na kenya pia

Suppose Katiba ya Kenya ikisema kwamba mtu yeyote aliyezaliwa katika Jamhuri ya Kenya ni Mkenya regardless uraia wa wazazi wake hapo inakuwaje? Ni Katiba au sheria zipi zita-overrule zingine? Maana tukienda hivyo jamaa atakuwa ni mkenya na wakati huo huo ni mtanzania. Naomba msaada.
 
Chadema haina shida ya kutafuta kura kwani tayari ushindi uko upande wetu.
Tunachohangaikia ni kukabiliana na mbinu chafu za polisisiemu, neccm, tissisiemu, takukuru na uhamiajiccm.
Hatujawahi kuhitaji ushauri toka ccm, tena watu wenyewe waliochoka kifikra, wanaowaza rushwa 24/7![/QUOT

Ngoja tuone. Mimi nazungumza nikiwa field. Sizioni hizo kura za chadema. Kati ya chaguzi ndogo rahisi ktk kipindi hiki ukiondoa uzini naona ni Arumeru. Hapa naomba slaa apewe usimamizi wa uchaguzi, mbowe awe msimamizi msaidizi, wabunge wote wa chadema wawe wasimamizi kwenye kata, na polisi wote waondoke. CCM TURUHUSIWE KUWEKA WAKALA TU TUHESABU KURA, NIMEZUNGUKA, NIMECHORA TYUNU U MAU CCM INASHINDA
 
4) A citizen of the United Republic shall cease to be a citizen it
(a) having attained the age of eighteen years, he acquired the citizenship
of some country other than the United Republic by a voluntary
act other than marriage;
(b) having attained that age of eighteen years, he otherwise acquired
the citizenship of some country other than the United Republic,
or while a citizen of the former Republic of Tanganyika or the
former People's Republic of Zanzibar; and has not, by the
specified date renounced his citizenship of that other country,
taken the oath of allegiance and made and registered a declaration
prescribed by Parliament regarding his intention as to residence.

Kama sheria zitafuatwa inavyotakiwa ,Siyoi ana chake hapo, aanze tu utaratibu wa kuukana uraia wa Kenya .

Kwa Tanzania lolote linawezekana. Ila kesi ya Siyoi ni unique, hatujawahi kuwa na mgogoro wa kesi ya mtu mwenye uraia wa kurithi (descent). Wakiruhusu aendelee na harakati zake za ubunge basi sheria ya uraia inahitaji mabadiliko kwa kuongeza baadhi za exceptions au labda miscellaneous section. Kwa kesi kama ya Siyoi kwa sasa watakuwa hajatenda haki
 
Sitaweza kurudia sana hapa refer thread number 55, imeeleza vizuri sana. Kwa kifupi Tanzania tuna uraia wa aina tatu,
(1) Uraia wa Kuzaliwa (citizenship by birth)-Huu napatikana kwa mtu yoyote aliyezaliwa Tanzania with a condition that, mzazi mmoja wapo au (wote) awe either raia wa kuzaliwa au raia wa kwandikishwa.

(2) Raia wa kuandikishwa (citizeship by naturalisation)- Huu hupatikana kwa kuomba, ikiwa raia yoyote wa kigeni anayeishi Tanzania kwa muda usiopungua miaka kumi, au pungufu ya hapo kama waziri ataona inafaa, ambaye anania kubaki Tanzania kwa muda wote wa maisha yake. Huu ndio mara nyingi tunauona kwenye magazeti watu wakiomba

(3) Uraia wa kurithi (citizenship by descent)- Huu ni uraia mtu yoyote aliyezaliwa nje ya Tanzania huku wazazi wake wakiwa Watanzania raia wa kuzaliwa au wa kuandikishwa. Watu wanaozaliwa ikiwa wazazi wao wanafanya kazi kwenye balozi hao watu wanahesabika wamezaliwa Tanzania. Pia ileweke kuwa mtu ukizaliwa kwenye chombo cha usafiri (ndege, meli.e.t.c) unahesabika umezaliwa kwenye nchi ambayo hicho chombo kimeandikishwa

Ileweke kuwa sheria ya uraia ya Tanzania, haitambuwi uraia wa nchi mbili au tatu, with exception kwa mtu mwenye uraia wa kurithi. Raia wa kurithi anaruhusiwa kuwa na uraia wa nchi mbili mpaka pale atakapofikisha umri wa miaka kumi na nane (18) anatakiwa kukana uraia wa nchi nyingine na kubaki na uraia wa Tanzania pekee. Hiki kitendo watu wengi hawakifanyi na price yake wanaipata pale wanapotaka uongozi wa kisiasa

Pia hakuna mahara popote pale ambapo sheria ya uraia ya Tanzania inatoa exception katika kukana uraia kwa mtu mwenye uraia wa kurithi, kwamba either kama huyo mtu kazaliwa kwenye nchi ambayo inatoa automatic citizeship kama US au conditional citizeship kama Kenya kwamba aukane uraia wake wa awali au hapana. Sheria ya Tanzania inawataka watu wote wenye uraia wa kurithi kuukana uraia wa nchi walizozaliwa pale wanapofikisha umri wa miaka kumi na nane, without exception kama Mh Mchemba unavyotaka tuamini. Naona hapo Mh umetumia common sence na sio sheria unavyosema, ni vizuri kama ukaweka ushahidi wa hayo mnayoyaamini. Pia sheria inatoa mwanya wa mtu kupewa uraia hata kama hajakana uraia wa nchi nyingine, ikiwa atathibitisha tu kuwa ni vigumu au haiwezekani kukana uraia wa nchi nyingine ambayo inamtambuwa au haimtambui kuwa ni raia wake

What about SIYOI?
Kwa kesi ya Siyoi ilivyo, yeye anafall katika category ya tatu yaani raia wa Kurithi kwa kuwa alizaliwa Kenya na wazazi watanzania. Wazazi wake walikuwa hawafanyi kazi za ubalozi huko Kenya wakati jamaa anazaliwa.
Pasipo kujali kuwa either Kenya walikuwa wanamtabua kuwa raia wao au hapana, Tanzania ilikuwa inamtambua Siyoi kama raia wa Kurithi yaani alikuwa na uraia wa Kenya na Tanzania na alivyofikisha umri wa miaka 18 kama alishindwa kuukana uraia wa Kenya alipoteza sifa za kuwa raia wa Tanzania. Kwa mazingira yake kama inaonekana ilikuwa ni vigumu kwa yeye kukana uraia wa Kenya kwa kuwa Kenya walikuwa 'hawamtambui' kama raia, alipaswa kupeleka maelezo hayo idara ya Uhamiaji ili wamwelewe kuwa kwa kesi yake hawezi kukana uraia na wa mpe uraia wa Tanzania

Kwa jinsi nilivyosoma sheria ya uraia ya Kenya, Siyoi pia hana sifa ya kuwa raia wa Kenya kwa umri alionaona. Swali sasa linakuja Siyoi ni raia wa aina gani?
Jibu ni jepesi SIYOI SUMARI hana Uraia wa nchi yoyote ile Duniani (Stateless). Watu wa aina hii wapo wengi tu duniani ambao wanaishi kwa kutokuwa na uraia wa nchi yoyote kisheria. Ila kwa Tanzania I know anything can happen

NB
Issue hii ni tofauti na Kesi ya Ulimwengu, licha ya mwamba wote Siyoi na Generali wanajikuta wanakuwa sio raia wa nchi yoyote ile Duniani, Siyoi anapaswa kuukana uraia wa Kenya, kwa kuwa yeye alishawahi kuwa raia wa kurithi mpaka alipofikisha umri wa miaka 18 ndipo uraia wake ulikoma, Ulimwengu hakuwahi kuwa raia wa Tanzania kwani hata Wazazi wake hawakuwahi kuwa raia wa Tanzania, ndio maana yeye aliambiwa aombe uraia wala hakuambiwa aukane tu uraia wa Rwanda.

Kwa maoni yangu sheria ya Uhamiaji ya Tanzania inamapungufu mengi. Ikifika stage kama hizi ndio mapungufu yake yanaonekana. Kwa mfano mpaka sasa raia yoyote wa kurithi, mwenye mke au mume ambaye sio raia wa Tanzania au ni raia wa kurithi, akizaa mtoto nje ya nchi huyo mtoto anakuwa sio raia wa Tanzania, wala uraia wa kurithi haupati. Itampasa huyo mtoto amuombee uraia wa kwandikishwa kama anataka awe Mtanzania.

Wito kwa Watanzania wote wenye uraia wa kurithi nendeni mkakane uraia wa nchi mlizozaliwa, maana kwamtindo huu mkekalia kuti kavu bila kujijua

Source Tanzania citizeship Act 1995-http://www.bunge.go.tz/Polis/PAMS/Docs/6-1995.pdf

Mkuu hapo nimekusoma thanks hofu itabaki kwa tuliowapa dhamana ya kusimamia haki.
 
Mkuu Umeeleza vizuri sana, mwenye masikio ya kusikia na asikie!
 
Back
Top Bottom