Lyimo
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 3,826
- 2,017
Kwasasa TAKUKURU Imekuwajekuwaje taasisi ya kusafisha watuhumiwa. Tusitegemee jipya hapa. Kama issue ya RADA SFO walimtuhumu Mh.Chenge na kuweka wazi vidhibiti vya pesa yake ya mgao, bado TAKUKURU wetu walikuja kumsafisha huku. Kama walipinga uchunguzi wazi SFO, watashindwa kupingana na taarifa ya CAG.