Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Garagaza - Kibaha
Maeneo hayo ni, shule ya msingi senge - mkoani singida, shule ya sekondari senge - mkoani singida, shule ya msingi mwisenge - mkoani mara, shule ya msingi kitobo - mkoani kagera, mchamba wima na kibanda maiti - zanzibar, Senge rema mkoani mwanza, katerero - mkoani kagera,
Majina ya Watu sasa! Uswazi utasikia Chausiku, Makusudi, Mawazo, Matatizo.................... Mbeya sasa Chamuchubwi, Tulinampoki, Tutufye, Mwapanya.......Wangoni sasa, Mapunda, Nyoka, Komba, kakobe, kimbuzi, king'ombe............Wachaga sasa Clinton, Bush Ebu nawe endelea
Nimetafiti na kuambiwa yuko sehemu nyeti na anatambulika kama OSS IX.Umefurahisha sanaaaaaa, yupo wapi siku hizi au alishabadili jina?