Recent content by Ombudsman

  1. Ombudsman

    TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

    Serikali imechanganyikiwa, hajui ni jinsi gani wataweza kumnyamazisha Kakobe. Usalama, TRA, Ccm, Gambo wote wanatapata kumnyamazisha Kakobe.
  2. Ombudsman

    Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

    Muuza madawa
  3. Ombudsman

    Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

    Ile mirija imekatwa yote, wameambiwa watafute kazi za kufanya na sio kutegemea tena buku 7 za huruma.
  4. Ombudsman

    Serikali: Pato la Taifa limekua kwa 6.8% ikilinganishwa na 7.7% ya mwaka jana. Uchumi haujaporomoka!

    Alitakiwa kusema pato la taifa limeshuka kutoka 7.7% mpaka 6.8% ikilinganishwa na pato la mwaka jana.
  5. Ombudsman

    Intelijensia TISS ni walinzi binafsi wa Rais?

    Nenda ukaulize watu wanaokaa karibu na makazi ya hao Tiss ndio utajua jinsi walivyo na vurugu. Kuanzia uendeshaji wao magari mpaka kuongea kwao. Afadhali wanajeshi, hawa wengine wana vurugu sana.
Back
Top Bottom