Kwa hiyo tutegemee "acceleration" ya ukuaji kuzidi kupungua kwa positive growth?Hapana, huchumi haujasinyaa... Kilichopungua ni acceleration. Uchumi ungesinyaa ile rate ingekuwa ni negative. Ukisema economy has grown at -6.8% hiyo negative growth ndiyo ina maanisha contraction... Kwa sasa uchumi unakuwa at a pistive rate yani +6.8%... kasi yake ikiwa imepungua kutoka hiyo +7.7%...
Kwa hiyo tukiendelea na hiyo -ve accelearation ya uchumi baada ya miaka mitatu ijayo ndipo tutakuwa tumefikia pale mkulu anataka tufike? Yaani uchumi ukue kwa 1-2 kama wa UK hakafu akijipa tena 5 years tutakuwa na uchumi unaokuwa kwa -1% kabisa?Hapana, huchumi haujasinyaa... Kilichopungua ni acceleration. Uchumi ungesinyaa ile rate ingekuwa ni negative. Ukisema economy has grown at -6.8% hiyo negative growth ndiyo ina maanisha contraction... Kwa sasa uchumi unakuwa at a postive rate yani +6.8%... kasi yake ikiwa imepungua kutoka hiyo +7.7%...