Askofu Dk. Elia Mauza: Tanzania haina amani ya kweli

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Endtime Harvest (EHC) lenye Makao Makuu Mkoani Dodoma, Dk. Elia Mauza amesema Tanzania haina amani ya kweli badala yake watu wake wana utulivu

Ametoa kauli hiyo jana wakati wa kongamano la maombi ya kuliombea taifa, viongozi wa kisiasa, serikali, viongozi wa dini pamoja na kuliombea Bara la Afrika.

Kiongozi huyo wa kiroho amesema ambaye pia ni katibu wa umoja wa Madhehebu mkoa wa Dodoma amesema kwamba kuna kila sababu ya kufanya maombi ya kuliombea taifa kwani kwa sasa hakuna amani ya kweli bali kuna utulivu.

Amesema maombi hayo yanayohusisha jumla ya nchi 11 kutoka barani Afrika na mataifa ya ulaya yanalenga kuombea nchi ya Tanzania, nchi za Afrika pamoja na dunia kwa ujumla ili iweze kupatikana kwa amani ya kweli.

“Ili nchi iwe na amani ya kweli ni lazima watu wake wawe na hofu ya kimungu na wafanye kazi kwa kusimamia misingi ya haki, sheria, kanuni pamoja na taratibu za nchi husika badala ya kutumia mabavu au kuongoza kwa kuvunja sheria.

“Tunaweza kuona kwa sasa amani iliyopo nchini ni kubwa kiasi gani lakini matukio yanayotokea ni ya amani kweli wapo watu wanafanya fujo na watu wengine wanavamia na kupiga watu risasi,bado kuna watu ambao wanafanya vitendo vya kiarifu, wala rushwa pamoja na mafisadi.

“Hiyo kama haitoshi wapo watu ambao wanafanya hujuma za wazi wazi kwa viongozi wa kisiasa, serikali, ndani ya viongozi wa Kiimani na makundi ya walionacho na wasiyonacho kwa kutumia vibaya madaraka au mali walizonazo,” alieleza Dk. Mauza.

Hata hivyo Dk. Mauza amesema ili kuendeleza maombi ya Amani ya Tanzania na duniani kote kuna kongamano lingine ambali linaratibiwa na The Global Revival Network litakalofanyika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.

Amesema lengo kubwa la kufanya komgamano hilo Kiteto ni kutaka kurejesha amani, upendo na mshikamamo kwa wananchi wa wilaya hiyo kutokana na kuwepo kwa mapigano ya muda mrefu kati ya wafugaji na wakulima.

Kwa upande wake Balozi wa Umoja wa mataifa kwa dini ya Kikristo katika kutafuta Amani Duniani, Madh Krishina kutoka India, akiwa katika kongamano la Amani la kuliombea taifa la Tanzania na dunia kwa ujumla, amesema njia pekee ya kupata amani ni kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.

Dk. Krishina amesema kuwa wapo baadhi ya viongozi na watawala mbalimbali kutumia majeshi na vyombo vya dola huku wakishindwa kumtanguliza Mungu mbele ili awe kiongozi mkuu katika maamuzi yao.

Kiongozi huyo amesema nchi au bara lolote haliwezi kuendeshwa kwa mabavu au kwa kutegemea mali nyingi za nchi au bara bali ni kujijenga katika misingi ya kuwa na hofu ya kimungu.

“Lazima mjue ili kuwepo na amani ya kweli nilazima watu wakamjua Mungu vizuri ikiwa ni pamoja na kutenda matendo ambayo yatakuwa na haki na sambamba na kuwajali watu wote ambao wanatakiwa kutumiwa,” amesema Dk. Krishina.
 
Naona akili zimeanza kuwakaa sawa. Wamekua kama kumbimbuki msimu wa mvua.
 
Rekebisha heading halafu hao maaskofu ndio walikuwa wanaingiza watu kanisani na kufyeka vichwa huko Rwanda
 
Askofu Dr E Mauza amesema. .......
1....Tanzania haina AMANI ya kweli.....
Nakubaliana naye!!
2....Badala yake watu wake wana utulivu.....

Hill halijakaa sawa.

Askofu anajua " Na kazi ya HAKI itakuwa AMANI; Na mazao ya HAKI yatakuwa ni UTULIVU na
matumaini daima"
Isaya 32:17

Kinachoanza ni HAKI! Mengine yanafuata.
 
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Endtime Harvest (EHC) lenye Makao Makuu Mkoani Dodoma, Dk. Elia Mauza amesema Tanzania haina amani ya kweli badala yake watu wake wana utulivu

Ametoa kauli hiyo jana wakati wa kongamano la maombi ya kuliombea taifa, viongozi wa kisiasa, serikali, viongozi wa dini pamoja na kuliombea Bara la Afrika.

Kiongozi huyo wa kiroho amesema ambaye pia ni katibu wa umoja wa Madhehebu mkoa wa Dodoma amesema kwamba kuna kila sababu ya kufanya maombi ya kuliombea taifa kwani kwa sasa hakuna amani ya kweli bali kuna utulivu.

Amesema maombi hayo yanayohusisha jumla ya nchi 11 kutoka barani Afrika na mataifa ya ulaya yanalenga kuombea nchi ya Tanzania, nchi za Afrika pamoja na dunia kwa ujumla ili iweze kupatikana kwa amani ya kweli.

“Ili nchi iwe na amani ya kweli ni lazima watu wake wawe na hofu ya kimungu na wafanye kazi kwa kusimamia misingi ya haki, sheria, kanuni pamoja na taratibu za nchi husika badala ya kutumia mabavu au kuongoza kwa kuvunja sheria.

“Tunaweza kuona kwa sasa amani iliyopo nchini ni kubwa kiasi gani lakini matukio yanayotokea ni ya amani kweli wapo watu wanafanya fujo na watu wengine wanavamia na kupiga watu risasi,bado kuna watu ambao wanafanya vitendo vya kiarifu, wala rushwa pamoja na mafisadi.

“Hiyo kama haitoshi wapo watu ambao wanafanya hujuma za wazi wazi kwa viongozi wa kisiasa, serikali, ndani ya viongozi wa Kiimani na makundi ya walionacho na wasiyonacho kwa kutumia vibaya madaraka au mali walizonazo,” alieleza Dk. Mauza.

Hata hivyo Dk. Mauza amesema ili kuendeleza maombi ya Amani ya Tanzania na duniani kote kuna kongamano lingine ambali linaratibiwa na The Global Revival Network litakalofanyika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.

Amesema lengo kubwa la kufanya komgamano hilo Kiteto ni kutaka kurejesha amani, upendo na mshikamamo kwa wananchi wa wilaya hiyo kutokana na kuwepo kwa mapigano ya muda mrefu kati ya wafugaji na wakulima.

Kwa upande wake Balozi wa Umoja wa mataifa kwa dini ya Kikristo katika kutafuta Amani Duniani, Madh Krishina kutoka India, akiwa katika kongamano la Amani la kuliombea taifa la Tanzania na dunia kwa ujumla, amesema njia pekee ya kupata amani ni kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.

Dk. Krishina amesema kuwa wapo baadhi ya viongozi na watawala mbalimbali kutumia majeshi na vyombo vya dola huku wakishindwa kumtanguliza Mungu mbele ili awe kiongozi mkuu katika maamuzi yao.

Kiongozi huyo amesema nchi au bara lolote haliwezi kuendeshwa kwa mabavu au kwa kutegemea mali nyingi za nchi au bara bali ni kujijenga katika misingi ya kuwa na hofu ya kimungu.

“Lazima mjue ili kuwepo na amani ya kweli nilazima watu wakamjua Mungu vizuri ikiwa ni pamoja na kutenda matendo ambayo yatakuwa na haki na sambamba na kuwajali watu wote ambao wanatakiwa kutumiwa,” amesema Dk. Krishina.
 
Naona Askofu Kakobe kafungilia njia.....

There is no Point of Return

[HASHTAG]#Pombe[/HASHTAG] Atubu
 
,,,moooto unawaka leo tuimbe haleluyah moto umewaka ×2
mapepo yakimbia mooto umewaka
 
Wanatakiwa Maaskofu wote, Masheikh wote nchini pamoja na watanzania wote wanaolitakia mema Taifa hili wajitokeze kwa wingi kusemea kuhusu uvunjaji huu wa wazi kabisa wa Katiba ya nchi yetu ambayo inasema nchi yetu ni ya mfumo wa vyama vingi, ambapo watawala wetu wanataka kuifanya ya chama kimoja, hata ikibidi kwa pyupyu!

[HASHTAG]#Pombe[/HASHTAG] Atubu
 
ASKOFU mkuu wa Kanisa la Endtime Harvest (EHC) lenye Makao Makuu Mkoani Dodoma, Dk. Elia Mauza amesema Tanzania haina amani ya kweli badala yake watu wake wana utulivu

Ametoa kauli hiyo jana wakati wa kongamano la maombi ya kuliombea taifa, viongozi wa kisiasa, serikali, viongozi wa dini pamoja na kuliombea Bara la Afrika.

Kiongozi huyo wa kiroho amesema ambaye pia ni katibu wa umoja wa Madhehebu mkoa wa Dodoma amesema kwamba kuna kila sababu ya kufanya maombi ya kuliombea taifa kwani kwa sasa hakuna amani ya kweli bali kuna utulivu.

Amesema maombi hayo yanayohusisha jumla ya nchi 11 kutoka barani Afrika na mataifa ya ulaya yanalenga kuombea nchi ya Tanzania, nchi za Afrika pamoja na dunia kwa ujumla ili iweze kupatikana kwa amani ya kweli.

“Ili nchi iwe na amani ya kweli ni lazima watu wake wawe na hofu ya kimungu na wafanye kazi kwa kusimamia misingi ya haki, sheria, kanuni pamoja na taratibu za nchi husika badala ya kutumia mabavu au kuongoza kwa kuvunja sheria.

“Tunaweza kuona kwa sasa amani iliyopo nchini ni kubwa kiasi gani lakini matukio yanayotokea ni ya amani kweli wapo watu wanafanya fujo na watu wengine wanavamia na kupiga watu risasi,bado kuna watu ambao wanafanya vitendo vya kiarifu, wala rushwa pamoja na mafisadi.

“Hiyo kama haitoshi wapo watu ambao wanafanya hujuma za wazi wazi kwa viongozi wa kisiasa, serikali, ndani ya viongozi wa Kiimani na makundi ya walionacho na wasiyonacho kwa kutumia vibaya madaraka au mali walizonazo,” alieleza Dk. Mauza.

Hata hivyo Dk. Mauza amesema ili kuendeleza maombi ya Amani ya Tanzania na duniani kote kuna kongamano lingine ambali linaratibiwa na The Global Revival Network litakalofanyika wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.

Amesema lengo kubwa la kufanya komgamano hilo Kiteto ni kutaka kurejesha amani, upendo na mshikamamo kwa wananchi wa wilaya hiyo kutokana na kuwepo kwa mapigano ya muda mrefu kati ya wafugaji na wakulima.

Kwa upande wake Balozi wa Umoja wa mataifa kwa dini ya Kikristo katika kutafuta Amani Duniani, Madh Krishina kutoka India, akiwa katika kongamano la Amani la kuliombea taifa la Tanzania na dunia kwa ujumla, amesema njia pekee ya kupata amani ni kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.

Dk. Krishina amesema kuwa wapo baadhi ya viongozi na watawala mbalimbali kutumia majeshi na vyombo vya dola huku wakishindwa kumtanguliza Mungu mbele ili awe kiongozi mkuu katika maamuzi yao.

Kiongozi huyo amesema nchi au bara lolote haliwezi kuendeshwa kwa mabavu au kwa kutegemea mali nyingi za nchi au bara bali ni kujijenga katika misingi ya kuwa na hofu ya kimungu.

“Lazima mjue ili kuwepo na amani ya kweli nilazima watu wakamjua Mungu vizuri ikiwa ni pamoja na kutenda matendo ambayo yatakuwa na haki na sambamba na kuwajali watu wote ambao wanatakiwa kutumiwa,” amesema Dk. Krishina.
Ila hii sirikal aina hofu ya MUNGU kabisa na kuna mmoja kila cku antk aombewe alafu akiambiwa ukweli anapanic ss huko inawezekana mnamuombea zombi5
 
Rekebisha heading halafu hao maaskofu ndio walikuwa wanaingiza watu kanisani na kufyeka vichwa huko Rwanda

Umesema kweli kabisa. Hongera sana kwa hilo. Heri ya huyu sio Mkatoliki. Waliofanya hivyo kule Rwanda ni wale wa kanisa katoliki wakiwa wamevaa makanzu makubwa kama Pengo.

Tena walifanya hayo mauaji kwa kushirikiana na chama na serikali iliyokuwepo madarakani Unafiki na ukatili uliwajaa kama Pengo na ccm yake.

Na huyu Pengo anasubiria hali iwe kama Rwanda ili apate watu wa kupelekwa machinjioni pale St. Joseph kama wenzake walivyofanya kule Rwanda
 
Back
Top Bottom