Hivi kama uko na mtu na huna malengo nae ila mna enjoy na kupendana,ni hak umwambie au ukae tuu kimya?ukisema utamuumiza

Hizo picha za kabatini zilikuwa Na user name ya demu wa ulaya anayotumia Instagram?
Napoleone
Had leo sijui alijuaje juaje huyu dada,..na amewafollow weng kwel ,yaan wasichana niliowafollow nayeye amewafollow,ndo nilichokuja gundua,na ni waschana tuu
 
Mara paaaaaaaaaaaaaaaaaaap! Aliye masomoni anakuja kuolewa na mtu mwingine
Hahahah,fresh tuu,..ila itakula kwake zaid kuliko kwangu,..ushawai kua kwenye uhusiano ambao umeelemea upande m1?sasa ndo huu uhusiano wetu,yaan mi ndo mwenye jeur kuliko yeye,na yeye ndo kila siku anawaswas kua mi ndo ntamuacha yeye..ni that kind of a relationshp
 
Mwambie tu ukweli unless kama anajua kuwa mna buy tu time (It seems so from your explanation) vinginevyo hiyo dhambi (karma) itakufuata.
Na ndomana nna mawazo sana hapa,...ila pia kwa jins navyomjua huyu dada,..nkimwambia live live,ataumia saaana,bora aendelee kuhis niko kwenye dilema
 
Mara paaaaaaaaaaaaaaaaaaap! Aliye masomoni anakuja kuolewa na mtu mwingine
Wasomi wanazingua kuna jamaa alikua anamsomesha chuo uku anaish nae wakapanga waoane mamaee dem ile anamaliza kamtupa mchizi kaolewa na mwingne sembuse uyo wa nje ya nchi
 
Kosa umeshafanya Mwanzo kwa kumtreat huyo Single Mother kama Mke mtarajiwa ikiwa huna Malengo naye.., sasa kwakuwa yeye alikuwa na Malengo na ww zaidi ya asilimia 75 maana yake tayari umemuumiza kwa Mara ya pili baada ya Maumivu ya kwanza ya Ndoa iliyovunjika..,
Hadi ss anapokuona bado anazidi kuumia hivyo hujui anachowaza kichwani mwake hadi sasa ukizingatia unadeal na Mtu mwenye experience ya Maumivu ya kuachwa hivyo hana chakupoteza tena!
Ushauri:
Bora Nusu Shari kuliko Shari kamili, temana nae ss japo umechelewa kunusuru Mustakabali wa Ndoa yako tarajiwa..,
Daah mkuu maneno yako yameuchoma moyo wangu,..
 
Wanaume wengi wamelelewa na singo maza hadi kufikia hapo walipofikia kimaisha......
iwe direct au indirect lakini mama ndio huwa anabeba majukumu makubwa kwenye ustawi wa maisha ya watoto wao......

Ndio hao hao wengine wamewapa mimba wadada na kuwakimbia na kuwaachia majukumu ya ulezi peke yao.........

Lakini cha ajabu ndio hao hao wanaokesha mitandaoni kuwatukana na kuwalaani singo maza kama kwamba hizo mimba walijipa wenyewe........

Katika maisha kujikwaa ni kawaida kama ambavyo wewe mwanaume ulijikwaa ukampachika mimba mwanamke ambaye una mpango naye na kumkimbia.....ndio na yeye amejikwaa na kujikuta ni singo na kwa ujasiri ameamua kusimama imara na kumtunza mtoto mpaka anakuwa mtu mzima na anajitegemea.......

Kama umeshindwa kuwaheshimu basi usiwanenee mabaya

RESPECT

a2dbabe150edca62ab9ba25ed13d268e.jpg
Nmewanenea mabaya wap mkuu
 
Hahahahahaha una akili wewe
Kama we ni mdada najua unafaham kua mkiamuaga kutufatilia hua mnafatilia kwelkwel,nkikwambia kua amewafollow karibia wadada wote niliowafollow insta utaamin?
 
  • Hivi utawezaje kuwa na watu wawili at once? Malipo ni hapa hapa duniani.
  • Hii sio sheria wala ramri usipokuwa makini MTU kudondosha chozi kwa ajiri yako may be hutokuwa na furaha kwenye ndoa yako.utakuwa MTU wa kujuta siku zako zote.
2019 tunaomba mrejesho. Kila la kheri.
Ndomana naomba ushaur ndugu yangu
 
Wewe ni Malaya nathubutu kusema.

Hivi kwann lakini hukumtunzia penzi lake huyo wa ulaya hadi arudi regardless yeye hufanya the same or not.

Maaan your hopeless,its enough to you,back to my side I believe in telepath so bro unachofamfanyia wa ulaya nawewe anakufanyia in the same degree.

Usipoacha huo mchezo mapema singo maza atapata mimba,na wa ulaya atakuja na mulattoes tena mapacha from married man.
Kwa mwanaume ni ngum sana kuepuka hiko kikombe cha tamaa ,ukizingatia mdada yuko mbal sana
 
Lakini tambua kua girls are very good kwenye Ku pretend
Hana sabab ya kupretend,tulishatoka huko kitambo,..mnasemaga "umenitumia sana af uniache"..so huo ndo msemo wake mkuu,..na nmemtumia kwelkwl,na ubaya wake keshawaaminisha weng kua mi ndo mtu wake,ni dem yule wa kuweka mapicha yangu kwenye page zake,sasa hapo nadhan umenielewa.
 
Back
Top Bottom