Kupotea kwa mkuu Stroke na vijana wa Lumumba JF

Lugeye

JF-Expert Member
Apr 18, 2011
1,679
2,914
Wanabodi na wakuu, nimepata mshtuko mkubwa sana kwa wiki moja hii baada ya xmas kumekuwa na ukimya sana wa kada maarufu wa CCM mkuu stroke na baadhi ya UVCCM wenzake humu jukwaani

Naomba mwenye taarifa zao atujuze nini kimewapata member wenzetu, huu ukimya si kawaida yao kabisa.
 
Lkn Troll Jf yy naona bado anakomaa,ss hivi nasikia zile buku saba hamna tena pale Lumumba hali ni tetee
 
Aidha wamechoka kumtetea bwana yule maana inahitaji moyo mgumu sana kumtetea.
Au.
Wamejitahidi kutetea kwa nguvu zote lakini TEUZI hazijawapata wameamua kususa.
 
Wana mgongano wa maslahi. Ni watu wa Lumumba na wakati huo huo ni wafuasi wa makanisa ya maaskofu na wachungaji walio na mgogoro na serikali. Wameamua 'kunyuti'
 
Back
Top Bottom