TRA kumchunguza Askofu Kakobe baada ya kumsikia akisema ana hela kuliko Serikali

Wenye akili wapo wengi sana ila tatizo wamepungukiwa maarifa, wanategemea hirizi zao viunoni lazima wachanganyikiwe


Ni kweli mshua,maarifa ni sifuri......

Na TRA ikienda kiuonevu bila kufikiri,ngoma itasimama mahakamani na guess what,government will be raped alive on a broad day light..

Huyu bwana Kicheere asingekua na haja ya kufanya press conference,hiyo ni siasa,angefuatilia hili suala kimyakimya aangalie moto unaendaje..

Sasa hapo Kakobe atajipanga na best tax consultants and advocates uone ngoma itakavyosimama,halafu uniambie kama sisimizi hata angusha tembo..
 
Watu kila kukicha wanatumia huo msemo
" Nina pesa kama Giriki"
"Nina pesa kuliko serikali ya Trump.

Kwa hyo n msemo tu.
 
Kweli awamu hii ni ajabu sana aise yani kila sekta zinaendeshwa kwa mkomoeni na vitisho fulani kisa kutaka mtu fulani atubu leo hii mtu anachunguzwa na t.r.a maajabu haya yanapatikana Tz tu.
Atubu kwa lipi hasa?Watangulizi wake mliwahi kuwaambia watubu pia?Au wao waliongoza kama malaika hivyo kwao kutubu si sahihi?Hongera JPM kwa kasi yako watakuelewa tu.
Watubu kwanza. Maneno ya nini?

Watubu kwanza afu tukutane misibani hirizi kiunoni inahuuuuu

 
Serikali imechanganyikiwa, hajui ni jinsi gani wataweza kumnyamazisha Kakobe.
Usalama, TRA, Ccm, Gambo wote wanatapata kumnyamazisha Kakobe.
 
BREAKING: TRA kuanza kumchunguza Kakobe, “nina hela kuliko Serikali”

Nina hela kuliko serikali" ni kauli aliyoinukuu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Charles Edward Kichere kutoka kwa Askofu Kakobe. Kauli hiyo imeifanya TRA kuanzisha uchunguzi dhidi yake.

 
Kakobe amelewa madaraka ya kiuaskofu, making him literarly a person of unsound mind....

Kisheria mtu aliyelewa kwa namna yeyote hawezi kushtakiwa na kauli zake hazichukuliwi kwa uzito.. .. Kisheria wanasema a person of unsound mind can not produce statements which can legaly binding. So the best response ni kumpuuza Kakobe na kumwacha apambane na his brain washed followers...

Zaidi zaidi serikali kupitia wizara ya afya imsaidie Kakobe apatiwe uchunguzi (tiba)wa neurological disorders maana inawezekana anakabiliwa na ugonjwa wa psychosis au hallucination...
Well said mkuu.
 
Nakumbuka Gwajima aliomba ajenge reli ya Umeme kutoka Dar mpaka Moro na Chuo cha Marubani ila wakamuundia Zengwe hii inaitwa kata usiowataka.
 
Kazi wanayo!

Siku ile Kakobe amehubiri kwa karibu masaa 2, kipengele cha kuzungumzia watawala kutubu hakikuzidi dakika kumi.

Kama angeitisha press conference sijui ingekuaje maana hayo maneno machache tu jamaa wanahangaika kama wanatafuta sindano gizani.


Anyway hiyo clip ya kusema ana pesa kuliko serikali sio ya leo kama sikosei ni mwaka 2014
Haijalishi.
Upekuzi wa kodi hurudi nyuma miaka 7.
 
Back
Top Bottom