Kardinali Pengo: Tumuombee Rais Magufuli

PENGO LINDA HESHIMA YAKO. HUYU MKUU KAMA ANA MAPEPO MWALIKE KANISANI KWAKO AJE UMUOMBEE AU KAMA ANA MATATIZO MENGINE AENDE HOSPITAL
 
Tafuteni kitabu cha how the church and government got the same bed hakika unafiki huu wa viongozi wetu wa didi umezidi,hv mbona wakati wa awamu ya nne ya mtoto wa mjini matamko yalikuwa mengi? Je matamko hayo kwa sasa yamepotelea wapi? Au kwa sababu ni wakwao? Hapa bila shaka pengo litaendelea wigo wa mapengo?
Keki ya Taifa inapatikana ya nn kuendeleza beef kabiliana na shida zako acha Bakwata waisome namba
 
Pengo aache unafiki, Mimi no mkatoliki lakini huyu askofu amepungukiwa tunu ya kinabii ya kukemea maovu. Mbona hakemei ugaidi wa kiserikali, ukiukwaji wa haki za kiraia nk.
Ataanzaje wakati anapewa mkate tumbo na huyo
 
Huyu nadhani yale malimao na maharage ya watu bado yanamsumbua. Ngoja gwaji aliamshe dude!
 
Mkuu Nicholas upo??
Anyway Pengo na RC hwalitakii mema taifa letu..
Nipo mkuu, pengine Pengo anashindwa meza ukweli huyu jamaa kamuangusha sana.Alikomaa sana hadi mapadri makanisani kwake walikuwa wazi hawaitaki tena ccm.Sasa jamaa anamwangusha tena vibaya kuliko mkapa.
 
Kadinali Pengo....pambana na ugonjwa wako Achana na mashetani....ambayo yamevaa majoho kujifanya watakatifu!!! Kama aliweza KUZAA na shemeji ndani nyumba huyo si wa kutengwa na kanisa? Unamuombeaje hajatubu??? Mke alikimbiaa...au unafunika kombe?? Waumini wote wakosaji wanafunikiwa makombe yao kama huyu Sizo? Kabula ni kashfa nzito sana kiimani....unazaa na mdogo wa mke wako kanisa bado linakukumbatia kabla kutubu kosa na kuacha???? Tumuombee kwa lipi??? Anakandamiza demokrasia anaamrisha watu watekwe na wapigwe risasi!!!!
 
ASKOFU Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo amewataka Watanzania kuzidi kumuombea Rais John Magufuli kwa kazi nzuri anayoifanya. Kardinali Pengo alisema hayo alipokutana na waandishi wa vyombo vya habari vinavyomilikiwa na Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam hivi karibuni.

Alisema mambo anayoyafanya sasa Rais Magufuli yana manufaa makubwa kwa Watanzania na kusisitiza kwamba ni viongozi wachache duniani wenye ujasiri wa kufanya hivyo. Kardinali alisema kutokana na kutumbuliwa majipu kwa watu ambao walikuwa ni kikwazo kwa maendeleo ya Watanzania, kiwango cha ubinafsi kinaendelea kupungua kwa kiasi kikubwa.

Alitoa rai kwa Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi ili waimarishwe katika kuleta maendeleo ya taifa. “Tunahitaji kuiombea Serikali na tuiweke mikononi mwa Mwenyezi ili viongozi wake waimarike katika kuleta maendeleo kwa taifa letu,” alisema Kardinali Pengo.

Katika mkutano huo, Kardinali alitangaza Parokia teule sita kuwa Parokia kamili, ikiwemo ya Kijitonyama iliyokuwa ni Kigango cha Parokia ya Mwananyamala, hivyo kufanya parokia za Jimbo Kuu Dar es Salaam kufikia 95.

Mbali na Kijitonyama, nyingine ni Mtakatifu Rita Temboni, Msakuzi, Mbande, Mshikamano na Michungwani iliyoko Kimara. Mapema mwaka jana, alipokutana na Umoja wa Wanawake Wakatoliki Tanzania (WAWATA) Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema anamwomba Mungu amwezeshe kusimika parokia 100 za jimbo lake katika uhai wake. Kwa sasa zipo parokia teule nyingine sita ambapo zikikamilisha mahitaji yote, zinaweza kutangazwa parokia kamili ndani ya mwaka huu.
 
Kadinali Pengo....pambana na ugonjwa wako Achana na mashetani....ambayo yamevaa majoho kujifanya watakatifu!!! Kama aliweza KUZAA na shemeji ndani nyumba huyo si wa kutengwa na kanisa? Unamuombeaje hajatubu??? Mke alikimbiaa...au unafunika kombe?? Waumini wote wakosaji wanafunikiwa makombe yao kama huyu Sizo? Kabula ni kashfa nzito sana kiimani....unazaa na mdogo wa mke wako kanisa bado linakukumbatia kabla kutubu kosa na kuacha???? Tumuombee kwa lipi??? Anakandamiza demokrasia anaamrisha watu watekwe na wapigwe risasi!!!!
Eeee hatari hiyo mchane
 
Pengo ni mhaini na adui wa watz kwa kutumia madaraka yake vibaya........
Nikija kumsikka siku anaombea amani wkt ananafasi sasa ya kukemea uovu naweza kumfanya kitu kibaya sn......

Magufuli: WATZ NIOMBEENI
Watanzania: MZEE USICHANGAMYE SIASA NADINI UTAFUTWA
 
Back
Top Bottom