Askofu Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe... ataka watanzania tumuunge mkono!

Kwa vile hakuna mkamilifu isipokuwa Mungu basi ni vema ukimlinganisha mtu utaje Yale mambo yanayofanana otherwise unajumlisha hata na Yale mabaya
 
29a49d629149afb1ae065243c4cc7a50.jpg



Tunasubiri tena tamko la huyu askofu baada ya wazimbabwe kufanya yao! Teh teh teh teh askofu bhana!
 
Zimbabwe ukikaa bar masaa 5 lazima uwe na KIRIKUU iliyojaa minoti!. Huyu askofu anajua Mugabe alichoifanyia Zimbabwe au kaamua kutoa kauli za kinafiki kumsifia chasifa
 
Mimi ni muumini wa kikristo lakini huyu askofu anashiriki dhambi kwa kuwapotosha wanakondoo! Na ibada ya jumapili tunataka tamko lake! Wazimbabwe oyeeeeeeeeeeeee!
 
Hivi Habari kama hii ya kutoka kwa kiongozi wa kanisa ni ya kuandaliwa rasmi na msemaji wa Ikulu?

Ni sahihi?
 
Back
Top Bottom